Mchezaji mpya, Juan Mata, alianza Mechi yake ya kwanza kwa Man United na kuanzisha muvu iliyozaa Bao la kwanza Mfungaji akiwa Robin van Persie aliekuwa akicheza Mechi yake ya kwanza tangu Desemba 1o alipoumia.
YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe Mboni Patrick (28) kwa kumchinja kikatili naye kujinyonga, simulizi yake inashangaza.
DROO ya Raund ya 5 ya FA CUP imefanyika hii Leo na kuibua Mechi za Mvuto mkubwa kwa kupambanisha Vigogo ambapo Manchester City itaivaa Chelsea na Arsenal kukutana na Liverpool.
Wiki iliyopita, kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson alisema timu sita ikiwamo Manchester United ndiyo zenye nafasi kubwa ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England ingawa hakuitaja Liverpool.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema mchakato wa kuwapata wajumbe wa Tume ya Kimahakama ya Kuchunguza Madhara ya Operesheni Tokomeza Ujangili umeshaanza na majina hayo yatawekwa wazi hivi karibuni.
HUU ni ukatili uliopitiliza! Wakati wanaharakati mbalimbali nchini wakiwemo wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) wakipinga vikali vitendo vya ukatili, baba wa kufikia, Musa Mdetela, mkazi wa mjini hapa anasakwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto miguuni wanaye wa kambo
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limeipa Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia hadi Januari 27, kuanzia jana liwe limetoa maelezo ya uhakika kuhusiana na usajili wa Emmanuel Okwi. la sivyo watamsahau!!!!!
Ni vigumu kufahamu haya, lakini ndio ukweli kuwa kuna kasi ya kuongezeka kwa wanaume dhaifu nchini na ulimwengu kwa ujumla.kama .......................
Familia
inayowajumuisha baba, mama na mtoto ni miongoni mwa abiria 25 walipoteza
maisha katika ajali za barabarani zilizotokea katika mikoa ya Singida,
Lindi na Kilimanjaro.
SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu,
Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu
Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia.........................................
Katibu Mkuu
Kiongozi, Ombeni Sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri wakiwemo
walioziba nafasi tano zilizokuwa wazi na wengine kuhamishiwa wizara
nyingine!
MENEJA
wa Manchester United David Moyes amethibitisha kuwa Mastraika wake
mahiri Wayne Rooney na Robin van Persie wataikosa Mechi ya Jumapili ya
Ligi Kuu England huko Stamford Bridge dhidi ya Chelsea.
Utata umeibuka
kuhusu wabunge waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati ndogo ya Bunge ya
Ardhi, Maliasili na Mazingira kuwa wanahusika na biashara ya pembe za
ndovu.
KIUNGO wa Manchester United, Darren Fletcher, amesema Timu yao hainachochote cha kuogopa kwa tripu ya Jumapili huko Stamford Bridge kuivaa Chelsea kwenye Mechi ya Ligi Kuu England
NYOTA aliyetamba katika muziki wa kizazi kipya enzi hizo akiwa na Kundi
la Daz Nundaz, Ferooz Mrisho, juzikati alikamatwa na polisi na kutupwa
lupango .....................
Mfanyakazi wa Kitengo
cha Kuhifadhi Maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya, Eugene Vurugu
amemtisha Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuwa.................................................................
Ama
kweli dunia haina huruma! Dada Happy amejikuta akiishiwa nguvu na
kuanguka mbele ya kadamnasi na kuzimia pasipo msaada wowote ambapo
badala yake watu waliodaiwa kuwa ni vibaka walimuibia vitu vyake vyote.
MWENYEKITI
wa Chadema wilayani Temeke, jijini Dar Joseph Yona,33, ameeleza A-Z
sakata la kutekwa, kuteswa kwake na vijana sita wakati akienda..........................