Tuesday, December 3, 2013

Je wajua ? kuwa Wenye virusi vya ukimwi (VVU) wabaininika!

Wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wanaongoza kwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) ukilinganisha na wanaume, imeelezwa hapa chini............................

FAHAMU MAMBO 10 YANAYOWEZA KUKUFANYA KUWA TAJIRI NAMBA 1 DUNIANI


 
Carlos Slim Helu.
CARLOS Slim Helu, 73, raia wa Mexico, ndiye tajiri nambari moja duniani. Utajiri wake unafikia dola bilioni 66.8 (shilingi trilioni 107). Carlos anaeleza mambo 10 ambayo yamemfanya afike hapo alipo ambayo ni haya yafuatayo;

JE WAJUA? KABILA GANI ZURI NA LENYE SIFA ZA KUOA/KUOLEWA?



Sijajua kwa nini nimeamua kuandika mada hii, ila nimejikuta tu nikiandika. Lakini nina sababu ambayo nadhani inatosha kukushawishi hata wewe tukajiuliza kwa pamoja.