Sunday, July 28, 2013

Angalia picha za mwanga mpya Manchester united wakiwa japani

                             
 Licha ya klabu ya manchester united kuwa na matokeo yasiyoridhisha katika kipindi hiki cha mechi za pre season mazoezi yaendelea vizuri kunako klabu hiyo moyes adaiwa kuwa na mazoezi magumu zaidi ya babu ferguson tazama napicha nyingine hapa wakicheza mpira kwa mikono

HAUSIBOI ALIYEMLAWIT BINTI WA MIAKA MINNE YAMKUTA MAKUBWA MAHAKAMANI


Mahakama  ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kijana, Baraka  Juma (22) mkazi wa kijiji cha Nkungwi  wilayani humo, kifungo cha maisha jela  baada ya kupatikana  na hatia  ya  kosa la kumlawiti mtoto wa kike mwenye umri  wa  miaka minne  baada  ya kumhadaa na  kumlewesha bia.

Friday, July 26, 2013

ZIARA JAPAN: MAN UNITED APONEA CHUPUCHUPU,,ARSENAL WANG'ARA

MAN_UNITED-CLEVERLEY_N_ZAHA
Man United leo wamemaliza Ziara yao Nchini Japan kwa kutoka Sare ya Bao 2-2 na Cerezo Osaka katika Mechi ambayo walikuwa nyuma kwa Bao 2-1 hadi Dakika ya 91 na ndipo Mchezaji mpya Wilfried Zaha alipofunga Bao la kusawazisha likiwa Bao lake la kwanza kwa Timu yake.

TAZAMA PICHA 7 ZA MAKAHABA WAILIOAMUA KUANZISHA KIJIJI CHAO.

ILE Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’  ipo kazini! Safari hii imekutana na tukio la aina yake baada ya kumnasa kikongwe mmoja anayedaiwa kumiliki idadi kubwa ya madanguro katika uwanja wake na kuwapangisha makahaba katika eneo maarufu kwa jina la Kijiji cha Makahaba.

Thursday, July 25, 2013

Picha: Mmiliki wa Home Shopping Center akiwa South Africa kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana

MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Center(HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam, sasa yuko  Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.

Wednesday, July 24, 2013

BARCELONA WAMEKIPATA CHA MOTO DHIDI YA BUYERN MUNICH BAADA YA KUKUBALI KIICHAPA 2-0

Edging through: Thiago (left) and Boateng (right) challenge Messi for the ball
mabigwa wa ujerumani buyern munich wameendeleza ubabe dhidi ya mabingwa wa spain barcelona katika mechi ya kirafiki iliyo chezwa leo katika dimba la allianz arena bada ya kuilaza mabao mawili kwa bila mabao ya buyern yalifungwa na philip lahm dk ya 14 na mario mandzukic dk ya 87 

Mr Blue apasua jipukwa kusms raha ya mapenzi na mpenzi wake mpya


 
Msanii mwenye kipaji ambae jina lake linasadifu kazi aifanyayo mr Blue amweka hadharani mambo yake katika mahusiano yake na mpenzi wake 

TUHUMA ZA WIZI WA SIMU ZAMNYIMA AMANI MSANII WA MWAMBAO WA PWANI SHILOLE, SIMU ZILIZOKUWA ZA MDIAMOND

STAA wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameingia matatani akidaiwa kuingia mitini na simu tatu za mkononi alizoaminiwa nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kufanya shoo.

PICHA ZA MAZISHI YA MWANAJESHI RODNEY NDUNGURU ALIYEUAWA DARFUR .


                               Mwili wa Rodney Ndunguru ukiingizwa katika kaburi.

diamond apasua jipu kuhusu wema

 

 

 

 

Azungumzia kilichotokea siku hiyo  

SKANDALI: FALCAO ‘KAFOJI UMRI’ MAMBO YAWA MAGUMU USA!!

RADAMEL_FALCAO
 WAKATI Staa mpya wa Monaco, Radamel Falcao, akisakamwa na skandali la kupunguza Miaka ya Umri wake, Winga wa Stoke City, Jermaine Pennant, amegomewa kuingia USA kwa sababu ya kuwa na Rekodi ya Kihalifu.

Friday, July 5, 2013

MOYES:AMPIGILIA MSUMALI ROONEY NA CRISTIANO RONALDO AMSUMBUA KICHWA


Kocha wa Manchester United David Moyes leo hii amethibitisha kwamba mshambuliaji wa klabu hiyo Wayne Rooney hayupo sokoni na ataendelea kuicheza klabu hiyo kwa mingi ijayo.


Lulu tangu atoke rumande asita kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote


Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael (Lulu), amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipotoka rumande, 

Monday, July 1, 2013

PREZZO ASEMA WAREMBO MTANITAMBUA!!!!


JACKSON Ngechu Makini ‘CMB Prezzo’ alizaliwa siku ya Jumatano ya Januari 09, mwaka 1980. Ni rapa lejendari wa Kenya ambaye alikuwa mmoja wa mastaa waliowakilisha nchi zao katika Shindano ya Big Brother Africa ‘StarGame’, 2012.

Tazama picha 10 za Tundaman, Mhe. Temba, Linex , ndani ya dar live wafanya maajabu!!!!

Chegge akiwadatisha wapenzi wa burudani wa Dar Live katika Usiku wa Tudd Thomas

Rais Barack Obama asema kilichomleta Tanzania

Rais Barack Obama wakati wa ziara yake Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama, amewasili nchini Tanzania katika mkondo wake wa mwisho wa ziara yake barani Afrika.

ROONEY: MTANITAMBUA OLD TRAFFORD!’


ROONEY_NA_FERGIE
                                                                                                                                                                                                                                                                                          WAYNE ROONEY ameamua kubaki na Mabingwa wa Manchester United kwa mujibu wa Magazeti kadhaa huko Uingereza hii leo.