Tuesday, January 28, 2014

ARSENAL YANASA KWA ‘WATAKATIFU’, MATA ALETA USHINDI OLD TRAFFORD, LIVERPOOL YAFANYA MAUUJI KWA EVARTON

BPL2013LOGO

Mchezaji mpya, Juan Mata, alianza Mechi yake ya kwanza kwa Man United na kuanzisha muvu iliyozaa Bao la kwanza Mfungaji akiwa Robin van Persie aliekuwa akicheza Mechi yake ya kwanza tangu Desemba 1o alipoumia.

TAZAMA MWINJILISTI ALIVYOMFANYIA UNYAMA MKE WAKE,,, NAYE KUJINYONGA


YULE Mwinjilisti wa Kanisa la Angilikana lililopo Kijiji cha Gama Makaani wilayani Bagamoyo, Pwani, Elikia Daniel (35) aliyemuua mkewe Mboni Patrick (28) kwa kumchinja  kikatili naye kujinyonga, simulizi yake inashangaza.

Monday, January 27, 2014

KWA MARA NYINGINE TENA WANAKUTANA : MAN CITY v CHELSEA,,, ARSENAL v LIVERPOOL!! NAN MKALI!!!!


FA_CUP_LOGO_NEW
DROO ya Raund ya 5 ya FA CUP imefanyika hii Leo na kuibua Mechi za Mvuto mkubwa kwa kupambanisha Vigogo ambapo Manchester City itaivaa Chelsea na Arsenal kukutana na Liverpool.

Wachezaji walevi Yanga kukiona


Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu amekemea tabia ya baadhi wa wachezaji wa timu yake kuendeleza unywaji pombe na uvutaji wa sigala.

Faida,// hasara usajili ghali wa Man U


Wiki iliyopita, kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson alisema timu sita ikiwamo Manchester United ndiyo zenye nafasi kubwa ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England ingawa hakuitaja Liverpool.

Saturday, January 25, 2014

Hatari: Operesheni ya ujangili yaundiwa mahakama sasa !!!!



Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema mchakato wa kuwapata wajumbe wa Tume ya Kimahakama ya Kuchunguza Madhara ya Operesheni Tokomeza Ujangili umeshaanza na majina hayo yatawekwa wazi hivi karibuni.

WATOTO WA KAMBO WACHOMWA MOTO!!!!!!


HUU ni ukatili uliopitiliza! Wakati  wanaharakati mbalimbali nchini wakiwemo wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) wakipinga vikali vitendo vya ukatili, baba  wa kufikia, Musa Mdetela, mkazi wa mjini hapa anasakwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto miguuni wanaye wa kambo

Friday, January 24, 2014

SAKATA LA OKWI : FIFA YATOA SIKU TANO TU!!!!


SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limeipa Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia hadi Januari 27, kuanzia jana liwe limetoa maelezo ya uhakika kuhusiana na usajili wa Emmanuel Okwi. la sivyo watamsahau!!!!! 

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Tatizo la wanaume dhaifu linavyohatarisha ndoa


Ni vigumu kufahamu haya, lakini ndio ukweli kuwa kuna kasi ya kuongezeka kwa wanaume dhaifu nchini na ulimwengu kwa ujumla.kama .......................

Tuesday, January 21, 2014

Ajali!!! Baba, mama, mtoto wafa ajalini



Familia inayowajumuisha baba, mama na mtoto ni miongoni mwa abiria 25 walipoteza maisha katika ajali za barabarani zilizotokea katika mikoa ya Singida, Lindi na Kilimanjaro.

Monday, January 20, 2014

Fahamu kwa nn Ronaldo Alitoa chozi!!!!!!


KWA wanaomtambua tangu utoto wake, alichokifanya Jumatatu iliyopita kitendo cha Cristiano Ronaldo alidondosha chozi............

PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!

SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia.........................................

Sunday, January 19, 2014

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATANGAZWA


Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue.
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri wakiwemo walioziba nafasi tano zilizokuwa wazi na wengine kuhamishiwa wizara nyingine!

Friday, January 17, 2014

MOYES WASIWASI MWIGI KWA MASTAA WAKEI!!

MOYES-OLD_TRAFFORD_TOUCHLINE
MENEJA wa Manchester United David Moyes amethibitisha kuwa Mastraika wake mahiri Wayne Rooney na Robin van Persie wataikosa Mechi ya Jumapili ya Ligi Kuu England huko Stamford Bridge dhidi ya Chelsea.

Majina ya wabunge ‘majangili’ Yaanikwa:

 
 
 Utata umeibuka kuhusu wabunge waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati ndogo ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuwa wanahusika na biashara ya pembe za ndovu.

Kichaa cha Mbwa: Wakazi Dodoma Waathirika


Aghalabu siku haiwezi kwisha bila kuona mbwa akikatisha katika mitaa ya katikati ya mji, wakati wa mchana bila kuwa chini ya uangalizi. 0

Thursday, January 16, 2014

FLETCHER: ‘HATUNA MCHECHETO NA CHELSEA!’


DARREN_FLETCHER-16JAN14 ANDERSON















 KIUNGO wa Manchester United, Darren Fletcher, amesema Timu yao hainachochote cha kuogopa kwa tripu ya Jumapili huko Stamford Bridge kuivaa Chelsea kwenye Mechi ya Ligi Kuu England

Wednesday, January 15, 2014

Ngono; sifa mpya inayotawala vyuo

Baadhi ya wakufunzi vyuoni wamekuwa wakidai ngono kama njia ya kuwapa alama za ufaulu wanafunzi.Picha ya Maktaba

FEROOZ MBARONI KWA BANGI


NYOTA aliyetamba katika muziki wa kizazi kipya enzi hizo akiwa na Kundi la Daz Nundaz, Ferooz Mrisho, juzikati alikamatwa na polisi na kutupwa lupango .....................

Tuesday, January 14, 2014

Mhudumu wa mochuari ‘Amchimba mkwara’ waziri Mkoan mbeya


Mfanyakazi wa Kitengo cha Kuhifadhi Maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya, Eugene Vurugu amemtisha Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuwa.................................................................

Thursday, January 9, 2014

MISS’ AANGUKA, AZIMIA AKOMBWA KILA KITU



Ama kweli dunia haina huruma! Dada Happy amejikuta akiishiwa nguvu na kuanguka mbele ya kadamnasi na kuzimia pasipo msaada wowote ambapo badala yake watu waliodaiwa kuwa ni vibaka walimuibia vitu vyake vyote.

BORA KWA DESEMBA: DAVID MOYES ATEULIWA KUGOMBEA MENEJA BORA!


MOYES-NGUMI_JUU

WAGOMBEA MCHEZAJI BORA NI 6!!
BOSI wa Manchester United David Moyes ni miongoni mwa Mameneja kadhaa Wanaogombea Tuzo ya Meneja Bora ya Barclays ya Ligi Kuu England, 

KUTEKWA NA KUTESWA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA SABABU YAFICHULIWA...................................




MWENYEKITI wa Chadema wilayani Temeke, jijini Dar Joseph Yona,33, ameeleza A-Z sakata la kutekwa, kuteswa kwake na vijana sita wakati akienda..........................

BASI LA MTEI LAFANYIWA NDIVYO SIVYO NA WANANCHI WA SINGDA BAADA YA KUGONGA NA KUUA:



Basi la mtei likiteketea kwa moto baada ya kuchomwa na watu wenye hasira kali.…