Monday, September 30, 2013

WENGER PRESHA BADO NINAYO: ASISITIZA KUZUNGUMZIA UBINGWA SASA NI UPUUZI!!!!

WENGER-PROFESA

Arsene Wenger amesisitiza kuwa ni upuuzi kuzungumzia hivi sasa kuhusu Arsenal kutwaa Ubingwa licha ya kuwa wao ndio wanaongoza baada ya kushinda Mechi 5 kati ya 6 za Ligi Kuu England walizocheza.

MSANII WA TANZANIA AKAMATWA NAMADAWA YA KULEVYA AKIRI KUKAMATWA CHINA!

Rehema fabian
Add caption
Madawa ya kulevya.

Rehema: Mambo poa tu. Nani mwenzangu?
Ijumaa Wikienda: Unachati na gazeti la Ijumaa Wikienda. Kuna taarifa zimezagaa Bongo kuwa umekamatwa na unga China. Hizi habari zina ukweli?
Rehema: Ni kweli nilikuwa mahabusu. Mateso ya huko wee acha tu. Nilipata kesi lakini si yangu ila namshukuru Mungu nimetoka salama.
Ijumaa Wikienda: Kesi inahusu nini na kama ilikuwa haikuhusu kwa nini ulikamatwa?.................................................

Sunday, September 29, 2013

EL DERBI MADRILEÑO: REAL WAKIONA CHA MOTO, NI MARA YA KWANZA TANGU 99!

EL_DERBI_MADRILENO13
Real Madrid wamepoteza El Derbi Madrileno baada ya kuchwapwa kwao Santiago Bernabeu Bao 1-0 na Atletico Madrid ambao Jana walimaliza ile Rekodi ya kutoifunga Real kwenye La Liga tangu Mwaka 1999 zikiwa ni Mechi 23.

Saturday, September 28, 2013

SPURS, CHELSEA TORRES ALIMWA KADI NYEKUNDU!

Tottenham wametoka Sare Bao 1-1 na Chelsea na kuipiku Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu England
Gylfi Sigurdsson ndie alieifungia Spurs Bao katika Kipindi cha Kwanza baada ya ushirikiano mzuri kati ya Christian Eriksen na Roberto Soldado na Mpira kumfikia yeye.

MAJANGA TENA:!!! DAKTARI FEKI ALIYENASWA MUHIMBILI NI FUNDI UMEME!



Dokta feki Bw. Dismas John Macha
SIRI imefichuka! Kumbe yule Dokta Dismas John Macha aliyenaswa kwa tuhuma za kujifanya daktari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar, Jumanne wiki hii, ni fundi wa umeme wa nyumbani,

MAN UNITED, MAN CITY ZOTE TAABANI!! PATA RATIBA NA MATOKEO YA MICHEZO MINGINE


WBA YAIPIGA UNITED OLD TRAFFORD MARA YA KWANZA TANGU 1978!
NI MWANZO MBOVU KWA UNITED KWENYE LIGI TANGU 1989/90!

RECHO NILICHO DHAMILIA NTAKIPATA TU,, ATUPIA NUSU UTUPU!!!


Rachel Haule ‘Recho’
 MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii.

TAZAMA YANGA ILIVYOTAKATA NA KUISAMBALATISHA RUVU SHOOTING

Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto), Nadir Haroub (Canavaro), wakiwania mpira katika lango la Ruvu Shooting, wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)Simon Msuva (kushoto) 

Thursday, September 26, 2013

WIKIENDI ULAYA: PATA MSIMAMO, RATIBA NA DONDOO MUHIMU!

LIGI_ULAYA_LOGO

LIGI VIGOGO huko Ulaya zitaendelea Wikiendi hii ingawa baadhi, kama La Liga na Serie wanazo Mechi hii leo Usiku.
NI BPL, LA LIGA, SERIE & BUNDESLIGA

JAMANI KUNA NINI KENYA AL-SHABAB WAISHAMBULIA TENA KENYA LEO


Moshi ukifuka kutoka jengo la Westgate.
POLISI wawili wameuawa wakati watatu wakijeruhiwa mapema leo baada ya kuvamiwa na kundi linalodaiwa kuwa la  Al-Shabab LEO.

FAHAMU ZAIDI YA VITU 9 USIVYOVIJUA JUU YA MWANAMKE ALIYEHUSIKA NA UGAIDI NCHINI KENYA


TUKIO kubwa la kigaidi lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika jengo la maduka makubwa na ya bei mbaya jijini Nairobi la Westgate, limeelezwa kuwa liliongozwa na mwanamke raia wa Uingereza, Samantha Lewthwaite.

ANGALI POLISI WAINGILIA KATI, NA KUNJA NDOA YA MTU JIJINI DAR !!!!!


NDOA iliyokuwa tayari kufungwa na shehe kati ya Hamis Ngaumba (35), mkazi wa Bangulo, Ulongoni, Gongo la Mboto, Dar na binti wa miaka 14 anayetajwa kwa jina moja la Zubeda, imesambaratishwa na polisi wa Kituo cha Polisi cha Sitaki-Shari, Dar kutokana na umri wa bi harusi kuwa mdogo, Amani limeidaka hiyo.

Tuesday, September 24, 2013

BAADA YA MSANII MAARUFU LADY JAY DEE KUANGUKA JUKWAANI AMEAMUA KUFUNGUKA.!!!

20130615-105345.jpg

Msanii wa kizazai kipya cha muziki  wa bongo freva  lady jaydee alionekana akianguka jukwaani wakati akitoaburdani lakini yeye mwenyewe ameamua kuweka mambo hadharani

BALAA!!! BAADA YA MASOMO KUWACHOSHA WANAFUNZI WA SECONDARY WAVUA NGUO WAKIWA DARASANI


Hawa ni baadhi yao kati yawale waliokuwa waki fanya hivo

MOYES ASIRUDIE MAKOSA AU TUJIANDAE NA AIBU YA KUKOSA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU UJAO


Nilinyanyuka kwenye kochi la nyumbani kwangu nikiwa mzito na kwenda kulala moja kwa moja ikiwa ni mapema sana kuliko kawaida yangu.

Monday, September 23, 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI YA 10 ZA MAJANGA YA FIESTA YALIYOTOKEA SHINYANGA NI NOMAA!!!

 Mwanadada Shilole na madensa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Kambarage.mkoani Shinyanga.

Thursday, September 19, 2013

KAMPENI YA USHOGA: MAN UNITED, SPURS & NORWICH ZAGOMEA!

BUTI-NYUZI_ZA_USHOGA

BAADHI ya Klabu za Ligi Kuu England, zikiwemo Mabingwa Manchester United, Tottenham na Norwich City, zimegoma kutoa sapoti kwenye Kampeni ya Kutetea Haki za Ushoga.

Wednesday, September 18, 2013

ANGALIA JONJO SHELVEY AWEKA REKODI YA KUHUSIKA NA TIMU ZOTE - AHUSIKA NA UNGWAJI WA MABAO YOTE MANNE YA KATI SARE YA 2-2 KATI YA LIVERPOOL VS SWANSEA


9776417375_4435ed657a_o_originalMchezaji Jonjo Shelvey usiku wa Jumatatu ulikuwa wa aina yake kwa upande wake baada ya kuhusika na ufungwaji wa mabao yote manne katika mchezo wa sare ya 2-2 kati ya Swansea dhidi ya timu yake ya zamani ya Liverpool. Hapo juu tunaona Jonjo akifunga bao zuri katika dakika ya 3 tu ya mchezo, lakini ya muda  akachomesha bao la kusawazisha la Liverpool kama unavyoona hapo chini

NAY WA MITEGO ATIWA MBARONI NA POLISI MKOANI MOROGORO


Kwa mujibu wa askari mmoja wa kikosi cha usalama wa barabarani aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo, walimkamata msanii…

Tuesday, September 17, 2013

WATUHUMIWA MADAWA YA KULEVYA WAONYESHA JEURI MAHAKAMANI YAWAKUTA MAKUBWA TAZAMA ZAIDI YA PICHA 6 ZA WATU WAO

Watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakiwa wameficha nyuso zao katika Mahakama Kuu jijini Dar leo

UCL: BARCA WAIKARIBISHA AJAX NOU CAMP JUMATANO! KIMBEMBE KWA MANCHESTER UNITED LEO

UCL_SE18

BARCELONA na AJAX ni Klabu kubwa na zenye Historia iliyotukuka Barani Ulaya, huku zote zikiwa zimetwaa Ubingwa wa Ulaya mara 4 kila mmoja, lakini cha ajabu ni kuwa Klabu hizi hazijawahi kukutana na Jumatano.

Sunday, September 15, 2013

JIONEE MWENYEWE PICHA 6 ZAMTOTO WA MIAKA 7 ALIYECHOMWA MIKONO NA MAMA YAKE MZAZI KISA MAYAI YA KUKU

 Mtoto EMILLY GEORGE[7] Mkazi wa kijiji cha RUANDA wilaya ya Mbeya akilia kwa uchungu maumivu ya vidonda baada ya kuchomwa moto na mama yake mzazi kisa akidaiwa kuiba mayai ya kuku jamani ukatili gani huu?

CAF KOMBE LA SHIRIKISHO: SAMATTA, ULIMWENGU KAZI YAONEKANA HUKO MAZEMBE

MBWANA_SAMATTA_IN_TP

LEO huko Lubumbashi, Congo DR, TP Mazembe imetinga Nusu Fainali ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho baada ya kuichapa Entente Sportive de Sétif ya Algeria Bao 4-2 huku Bao mbili za Mazembe zikifungwa na Straika wa Tanzania, Thomas Ulimwengu, na moja la mwenzake Mbwana Samatta.

LIGI ULAYA: BALE AFUNGUA UKURASA MPYA

BALE_IN_REAL

JANA, Real Madrid walimwanua rasmi Mchezaji Ghali Duniani, Gareth Bale, afanya mambo yake bale ambae alifunga Bao moja na Supastaa mwenzake Cristiano Ronaldo kufunga Bao jingine wakati Real wakiambulia Sare na huko Italy, kwenye mtanange wa Derby D’Italy, Inter Milan na Juventus zilitoka Sare.

Saturday, September 14, 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI YA 5 ZA DK PADRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Padre Joseph  Mwang'amba alipokuwa akitoa maelezo jinsi alivyopata mkasa wa kumwagiwa tindikali jana.

LIGI KUU ENGLAND: ARSENAL MTEREMKO3, SPURS 2, CITY SARE!!


BPL2013LOGO
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi 14 Septemba
Man United 2 Crystal Palace 0
Aston Villa 1 Newcastle United 2
Fulham 1 West Bromwich Albion 1
Hull City 1 Cardiff City 1
Stoke City 0 Manchester City 0
Sunderland 1 Arsenal 3
Tottenham Hotspur 2 Norwich City 0
19:30 Everton v Chelsea

LIGI KUU ENGLAND: MOURINHO JASHO LAMTOKA

MOURINHO-CHELSEA_TRAINING
Kichwa cha Dakika ya 45 cha Steven Naismith kimewapa Everton ushindi wa Bao 1-0 walipoipiga Chelsea Uwanjani Goodison Park na kumpa Jose Mourinho kichapo cha kwanza kwenye Ligi Kuu England.

Friday, September 13, 2013

MUONE ‘USTAADH’ ALIYENASWA AKIHUBIRI NA KUKUSANYA SADAKA MTAANI


'Ustaadh' akihubiri.
KATIKA hali ya kustaajabisha, kamera ya GPL imemnasa mhubiri aliyekuwa amevalia mavazi ya kiislamu kama Ustaadh. Mhubiri huyo alikuwa akihubiri neno la Mungu kama wafanyavyo wakristo, huku akikusanya sadaka katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam.
POSTED BY THESUPERONENEW.BLOGSPOT.COM

ETO'O: ASEMA YA MOYONI DARAJANI HASA!!!!!? MOURINHO

Samuel Eto'o amefunguka na kusema kwamba aliwahi kuapa kutokuja kucheza chini ya kocha Jose Mourinho.

Jamani Tanzania yaelekea wap tazama Mwandishi wa Mwananchi acharangwa mapanga



Mwandishi wa Habari wa kujitegemea mkoani Singida wa Magazeti ya Mwananchi Communications Limited, Awila Silla akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Singida, baada ya kupigwa mapanga na mtu asiyejulikana Jumapili iliyopita, mwaka huu, mjini Singida. Picha na Gasper Andrew.  

Monday, September 9, 2013

ALIEKUWA KOCHA YANGA ABWAGA MANYANGA BAADA KIPIGO


Yanga_Tom_Saintieft
 ALIEWAHI kuwa Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet, ameacha kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Malawi mara baada ya kuchapwa Bao 2-0 na Nigeria huko Calabar na kutupwa nja ya Kombe la Dunia KWENYE Mechi iliyochezwa Jumamosi.

ARSENAL 1 - 0 REAL MADRID: GAREHT BALE ABURUZWA VIBAYA NA MESUT OZIL KATIKA MAUZO YA JEZI

Ozil Arsenal
Ozil Arsenal
Gareth Bale anaweza kuendelea kupokea maneno yasiyo ridhisha kwa kumbadili  Mesut Ozil katika klabu ya Real Madrid baada ya wauzaji wakubwa wa jezi za soka mtandaoni UKSoccershop.com kuthibitisha kwamba mauzo ya jezi za nyota mpya wa Arsenal yameyazidi yale ya Bale kwa kiwango kikubwa.

Saturday, September 7, 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI YA 10 ZA WASANII MBALI MBALI JINSI SERENGETI FIESTA 2013 ILIVYOITIKISA JIJI LA MBEYA - SOKOINE YAFURIKA

Mama wa miduara ya Kibongofleva,Shilole akiwa na madensa wake wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Wanafunzi walipukiwa na bomu morogoro wakidhani ni Bulbu.


Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari matombo katika wilaya ya morogoro wamejeruhiwa, na wengine watatu kunusurika, baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, wakati wakitoka shuleni.

TAZAMA MAZISHI YA YALIYOWEKA REKODI IFAKARA!


MAZISHI ya rasta mmoja maarufu kwa jina la Rasta Gido aliyekuwa dereva wa bodaboda yameonekana kushika nafasi ya juu katika rekodi ya marehemui wote waliozikwa Ifakara, Morogoro miaka ya karibuni.

EBU MUONE MSANII WA KIZAZAI KIPYA DAZ BABA ALIVYO ZIMIKA NA KATIKA ENEO LA MAKAHABA

MASKINI Daz Baba! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari ya kusikitisha ya msanii huyo ambaye jina lake kamili ni David Jacob kunaswa akiwa amezima mjini hapa huku ulevi wa kupindukia ukidaiwa kuwa chanzo.

Friday, September 6, 2013

ANGALIA ZAIDI YA PICHA 7 ZA DAKTARI FEKI ALIYENASWA KCMC KILIMANJARO

  Daktari feki aliyenaswa katika hosptali ya KCMC aliyetambulika kwa jina la Alex Massawe akiwa amefungwa pingu mikononi mwake katika eneo la hosptali hiyo.