Tuesday, February 25, 2014

KIBARUA KINGINE TENA KWA MOYES : JE!!!! MAFANIKIO MAN UNITED YAKO MIKONONI MWA ROONEY & ROBIN VAN PERSIE??

RVP_N_ROONEY


WAKATI Mabingwa wa England, Manchester United, Usiku huu watatinga ndani ya Karaiskakis Stadium, Jijini Athens, Ugiriki  kucheza na Olympiakos kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI,

Tazama Mbinu za kufanikisha elimu kwa mtoto wa kike


Kwa kuwa watoto wa kike nao wana haki ya kuhitimu masomo kama ilivyo kwa wenzao wa kiume, chapisho lingine la HakiElimu liitwalo: Mbinu za kufanikisha elimu kwa wasichana

Thursday, February 20, 2014

HATARI!!!: MTOTO WA RAIS ANASWA AKIPIMA 'NGOMA'


Tuesday, February 18, 2014

DAH!!! UCHAWI NOMA ADONDOKA,NA UNGO NA KUAGEUKA KUKU!!!!soma zaidi


Kuku aliyebadilika kutoka hali ya ubinadamu akiwa katika ungo.
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika  kuwa kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo

Monday, February 17, 2014

VALENTINE'S DAY...AFUMANIWA, APIGWA, AZIMIA :soma zaid


SIMULIZI ya mrembo mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja inatia majonzi na huzuni lakini habari mbaya zaidi ni kwamba alifumaniwa na mwanaume wa mtu, katikati ya shamrashamra za Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, akapewa kichapo hadi akazimia, 

Sunday, February 16, 2014

Maajabu ,,, Jaguar; mwanamuziki milionea Aanza kuosha magari !!!!


Zipo baadhi ya kauli za Wahenga wa Kiswahili ambazo siyo rahisi kutimia au uhaliasia wake kuonekana kwa haraka katika maisha ya kila siku.

Friday, February 14, 2014

AJALI YA PIKIPIKI, ILIYOMPATA MSANII WA FLAMU KUELEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO ALIMANUSULA!!!



AJALI mbaya aliyoipata msanii wa filamu, Tito Zimbwe hivi karibuni ilikuwa imfanye apoteze maisha yake kutokana na namna ilivyotokea.

Wednesday, February 12, 2014

JUA KILICHOMFANYA MSANII WA KIZAZI KIPYA: WASTARA KUNYWA SUMU! soma zaidi

IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma,  nae..............

Saturday, February 8, 2014

LULU: SASA IMEKULA KWAKE KESI YAANZA UPYAA


KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Risasi Jumamosi limeambiwa.

Thursday, February 6, 2014

MAAJABU: MJAMZITO FEKI AIBA KICHANGA YAMKUTA MAKUBWA!!!! soma zaidi

I
NAWEZA kukushtua lakini ndivyo ilivyotokea. Kichanga cha siku thelathini, Veis Venus kiliibwa hivi karibuni, mtuhumiwa akiwa ni mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Grace akidaiwa ni mjamzito feki.

Wednesday, February 5, 2014

Wabunge majangili sasa imekula kwao!!!!!











Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu. PICHA|MAKTABA 
Serikali imetangaza rasmi kuanza upya kwa ‘Operesheni Tokomeza Majangili’, baada ya kuisitisha zaidi ya miezi mitatu iliyopita kutokana na operesheni hiyo kukumbwa  na matatizo ya utekelezaji  ambapo vilitokea vitendo vya ukatili na mateso .............

Tuesday, February 4, 2014

MAUAJI WATU 16 MARA: MAPENZI, UCHAWI, VISASI VYATAJWA: soma zaid



Marehemu Juma Marwa Nyaitara.WAKATI hofu kubwa ikiwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Wilaya za Butiama na Tarime mkoani Mara kutokana na mauaji ya watu zaidi ya 16, imebainika kwamba sababu za vifo hivyo zimejikita katika wivu wa kimapenzi, vitendo vya ulipizaji visasa na imani za kishirikina.

Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari soma zaid:











Angali jinsi Namna mdomo  unavyoharibika kutokana na ngono kufanywamara kwa mara  kwa kutumia mdomo.

Sunday, February 2, 2014

CHELSEA, LIVERPOOL, ARSENAL WAJIANDAA KUISHTAKI MAN CITY :


Arsenal, Chelsea na Liverpool wanaweza kutumia kipengele kidogo kwenye sheria ya "financial fair play' ya UEFA ili kuibania Manchester City haki ya kucheza katika mashindano ya Champions league msimu ujao.

Saturday, February 1, 2014

BABA AMUUA MTOTO KWA CHUPA YA BIA


Masikini wa Mungu! Baba aliyetajwa jina moja la Shaban (25), mkazi wa Kimara-Suka, Dar anadaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto wake asiye na hatia, Salma Shaban (miezi sita) kwa kumpiga ..............