Monday, October 28, 2013

FIESTA SNURA AONESHA TENA MAJANGA TAZAMA""



                                            Snura akionyesha mbwembwe zake jukwaani.
SHOO kubwa ya Serengeti Fiesta 2013 jijini Dar usiku wa Jumamosi ilifunga mitaa na kusababisha kila aliyehudhuria kutoka na msemo mmoja tu, yaani noma sana, Ijumaa Wikienda lilikuwa laivu kukupa ripoti kamili.

PELLEGRINI ASUSA KUPEANA MKONO NA MOURINHO!

PELLEGRINI-KIDOLE

MENEJA wa Manchester City Manuel Pellegrini, Jana mara baada ya Timu yake kuchapwa Bao 2-1 huko Stamford Bridge na Chelsea kwenye Mechi ya Ligi Kuu England, alitokomea kwenye Vyumba vya Kubadilishia Jezi bila ya kupeana mkono na Meneja wa Chelsea Jose Mourinho.

JINI KABULA ASEMA NI ZAMU YAKE SASA:


MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameamua kubadili mfumo wa maisha kwa kusoma Biblia kila wakati.

RADO: WEMA ALIPONEA CHUPUCHUPU



STAA wa sinema za Kibongo, Simon Mwakipagata ‘Rado’ amefunguka kuwa Wema Sepetu ‘Madam’ aliponea chupuchupu kwani ilibaki kidogo amng’oe meno.

MAJANGA: MCHUMBA ANASWA AKIJIUZA, AZIMIA


Mchumba huyo wa mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Diva alitoa kali ya mwaka baada ya kuzimia ghafla huku akitokwa na mapovu kinywani baada ya kunaswa na OFM akijiuza.

Saturday, October 26, 2013

ARSENAL BADO JUU, SUAREZ AFANYA KWELI, MAN UNITED YAJIKONGOJA!

 Vichwa vya Kipindi cha Pili vya Wayne Rooney na Javier Hernandez ‘Chicharito’ vimewapa ushindi Manchester United wa Bao 3-2 dhidi ya Stoke City Uwanjani Old Trafford baada ya mara mbili kutoka nyuma.

Sheddy Clever: Prodyuza wa ‘Number One’ aliye vichochoroni

Shadrack Willced Mongi maarufu ‘Sheddy Clever’ ndiye prodyuza wa studio hii iliyotengeneza wimbo wa ‘My Number One’ unaomilikiwa na mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’, wimbo uliofanya vizuri katika levo za kimataifa. 

Friday, October 25, 2013

WENGER ‘AOTA’ FERGIE KURUDI, PELLEGRINI ADHARAU VIJEMBE VYA MOURINHO

FERGIE_n_WENGER-KICHEKO
Arsene Wenger amekiri hatastushwa ikiwa Sir Alex Fergusonatabadilika na kurudi tena kwenye Soka ndani ya Miezi 6 tangu astaafu Umeneja Manchester United.

EL CLASICO: ‘WAPYA’ BALE, NEYMAR KUNG’ARA AMA CR7, MESSI KUMEREMETA??

EL_CLASICO-BEST
NI EL CLASICO ya 167 ndani ya Nou Camp Jijini Barcelona wakati FC Barcelona na Real Madrid zitakapocheza Mechi ya La Liga huku macho ya Washabiki safari hii yakiwakodolea ‘Wapya’ Gareth Bale na Neymar pamoja na kuwakazia wale wale wa zamani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

TAZAMA PICHA ZIDI YA 7 ZA DANGURO LA MADENTI LILIVOFUMULIWA


Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers wamefanikiwa kulifumua danguro linalodaiwa kufuga madenti wa vyuo mbalimbali jijini Dar.

AUAWA KWA KUIBA KUKU WATATU!


Kuku walioibiwa.
Akizungumzia tukio hilo, Dismas Rashidi aliyeibiwa kuku hao alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 20, mwaka huu na kuongeza kuwa marehemu alivunja banda la kuku majira ya usiku wa manani na kuchukua kuku hao wakati yeye akiwa hayupo.

Monday, October 21, 2013

There are people who don't ask questions they don't want to know the answer to...Don't be one of these people"

1391788_10201511175674038_207408760_n_ffd87.jpg

Village Swaraj; We Should Never Forget Our Rural Kids...

993420_10201513483451731_1484302798_n_7b836.jpg

In whatever we are doing. They are the future of our nation. Let us provide them with better education and better health, to start with...

ZA HIVI PUNDE: Marehemu Julius Nyaisanga kuagwa Moro Leo na Dar es salaam kesho



Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa redio nchini Tanzania, Julius Nyaisanga (pichani katikati), ambaye alifariki jana mjini Moro, anatarajiwa kuagwa leo mjini humo na maiti yake kusafirishwa kwenda Dar kwa ajili ya kuagwa kesho na wakazi wa jiji la Dar es salaam.

NJEMBA AMUOMBA MKEWE 'MAKALIO'


Vitendo vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuwa ni kinyume cha sheria na taratibu zilizopo.

TAZAMA MAJANGA TENA BABA AUZA NYUMBA MTOTO AKIWA NDANI

“Nilikuwa nimelala  ndani, nilipoamka asubuhi nilikuta mlango umefungwa kwa nje hata hivyo nilivumilia hadi njaa ilipoanza kuniuma baada ya siku tano nikaanza kupiga kelele ndipo majirani walipokuja kunifungulia na kuniambia nyumba imeuzwa” alisema mtoto Erasto Emmanuel 

Thursday, October 17, 2013

Bibi harusi afariki saa kadhaa baada ya ndoa


Dar es Salaam. Mwanamke mmoja wa Ilala jijini Dar es Salaam, Mwanahamisi Saidi (pichani) amefariki dunia wakati akijiandaa kwenda kwa mumewe baada ya kufunga ndoa.

Tuesday, October 15, 2013

Je wajua Watoto milioni mbili na nusu hawako shuleni Tanzania?

   



Sababu zinazowakimbiza wanafunzi shuleni ziko nyingi, ikiwamo shule nyingi kuwa na mazingira yasiyokuwa rafiki kwa wanafunzi kama inavyoonekana kwenye picha hii ambapo somo linaendelea chini ya mti badala ya darasani. 

fahamu Kanuni bora 10 za usalama wa kompyuta yako


Cha msingi ni kufuata tu kanuni, kwani kwa kufanya hivyo unaweza kwa kiasi kikubwa kuepukana na mambo mengi yanayoweza kuhatarisha usalama wa kompyuta yako kama vile athari za virusi.

Monday, October 14, 2013

SHEHENA YA AJABU ILIYOKAMATWA MOMBASA TAZAMA ILICHOKUWA IMEKIBEBA

Kontena ambalo lilikuwa na vitu vya nyumbani, limekamatwa likiwa na bidhaa nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo inasemekana huwa vinatumika kwenye ibada za dini za kishetani. Mzigo huo bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya na  kama ilivyoripotiwa na Citizen TV

TAZAMA KILICHOPO SASA KATIKA MSIBA ULIOTOKEA JANA WA MAMA YAKE UFOO SARO.

MTU AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE MTI MKOANI MOROGORO TAZAMA PICHA ZAID YA 4

Mwili wa mwanaume ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti. Mwanaume huyu amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro. Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika. Kwa mujibu wa askari…

MCHUNGAJI ANASWA NA MKE WA MTU GESTI YAMKUTA MAKUBWA


TOFAUTI na inavyoaminika na wengi kuwa watumishi wa Mungu ni watu safi, safari hii Mchungaji Obed Ntimba wa Kanisa la Anglikana Gongo la Mboto, Dar es Salaam amejikuta akivunja agano la Muumba baada ya kunaswa gesti akiwa na mke wa mtu.

MAMA DIAMOND ATAKI MCHEZO KABISA KATI YA PENZI LA DIAMOND, WEMA.


MAMA mzazi wa mkali wa ngoma ya Number One, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ ameingilia kati penzi lililofufuka upya kati ya mwanaye na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu.

WASANII WA BONGO WAMTOA CHOZI MAMA KANUMBA .


WASANII wa Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi waliofika kuzuru kaburi la aliyekuwa legendary wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, wameibua simanzi upya na kumsababisha mama wa marehemu, Flora Mtegoa kuangua kilio upya kwa mara nyingine.

JOKATE! SASA JUHUDI ZOTE ZA KUOKOA MAISHA YAKE AZIELEKEZA KWA WAGANGA WA KKINYEJI.

BAADA ya Mtangazaji wa Channel O Bongo, Jokate Mwegelo kuripotiwa kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa pumu, waganga wa kienyeji wamejitokeza kutaka kumsaidia ili aondokane na ugonjwa huo.

Sunday, October 13, 2013

Wahamiaji Haramu Morogoro wafanyiwa kitu kibaya watosahau angali mwenyewe picha zaidi ya 6.


Mmoja wa wahamiaji haramu toka Ethiopia na kwingineko akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro

MAMA WA MWANDISHI WA ITV / RADIO ONE AUAWA KIKATILI


MWANDISHI wa habari wa ITV na Radio One, Ufoo Saro (pichani) amepigwa risasi ya tumbo na kujeruhiwa vibaya, huku mama yake mzazi akipoteza maisha baada ya kupigwa risasi katika tukio hilo leo alfajiri............................................................................

Tazama top ten ya magoli ya klab kongwe barani ulaya..

 Baadhi ya magoli  ya klabu barani ulaya yaliyoingizwa kwenye top ten yaonyeshwa live

Wednesday, October 9, 2013

HOFU YA MAGAIDI TANZANIA; I HAUFUMBIWI MACHO KAZI YAANZA

BAADA ya i kufichua udhaifu wa ulinzi katika maeneo ya Mlimani City jijini Dar na Uwanja wa Taifa, sasa kazi imeanza ya kuhakikisha mashambulizi ya magaidi wa Al-Shabaab kama yaliyotokea nchini Kenya hivi karibuni, hayatokei Bongo.

DIAMOND AJITABIRIA KIFO DAR




KINARA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametumia melodi inayofanana kwa mbali na wimbo wake wa Kesho, kutengeneza ngoma mpya inayoitwa Kama Nikifa Kesho inayozungumzia hali itakavyokuwa baada ya yeye kufa, jambo lililotafsiriwa na mashabiki wake kuwa ni uchuro wa kujitabiria kifo..........................................................

Friday, October 4, 2013

SOMA RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND: WEKEEND HII

BPL2013LOGO

LIGI KUU ENGLAND ipo dimbani Jumamosi na Jumapili kabla kuwa nje kwa Wiki mbili kupishaMechi za Kimataifa.

VIDIC: AJIPA AMPA MATUAMAIN MOYES‘MATAJI YAPO MSIMU HUU!’


VIDIC_ZOEZI

NAHODHA Nemanja Vidic anaamini Manchester United inaweza kugombea Ubingwa wa Ligi ikiwa tu Difensi yao inayovuja itazibwa.

Habari Picha| Angalia Picha zaidi ya 9 Jinsi Shilole alivyo Nyonywa Maziwa yake na Shabiki Jukwaani


Ka Movie vile jamaa anakula kiulaiini

MAINDA SITOSAHAU IKIWA NI BAADA YA KUFANYIZIWA



STAA wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefanyiziwa baada ya kuibwa kwa simu yake aliyokuwa amehifadhi siri na vitu kibao.

JUA ZAIDI KISA CHA CHID BENZ, NA KASSIM MGANGA KUTUKANANA HADHARANI


WASANII wanaotamba katika muziki wa Bongo Fleva, Kassim Mganga na Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ juzikati ilikuwa nusura wazichape baada ya kumwagiana matusi hadharani.