Tuesday, August 20, 2013

VIONGOZI WA CCM SINZA WAKIONA CHA MOTO WAFUNGIWA MILANGO TAZAMA PICHA 7 NA HALI ALISI ILIVOKUWA

  Mlango wa Katibu wa  CCM wa tawi la Sinza E ukiwa umepigiliwa mbao kwa misumari kuzuia uongozi kuingia ndani.

UEFA CHAMPIONZ LIGI: JUMANNE, JUMATANO RAUNDI YA MCHUJO, ARSENAL KUSONGA?? BADO NI KITENDAWILI!!


UCL_2013_LOGO
JUMANNE na Jumatano Usiku zipo Mechi 10 za kwanza za Raundi ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ambapo Washindi 10 wa Raundi hii watajumuika na Timu 22 ambazo zimepitishwa moja kwa moja kwenye Droo ya kupanga Makundi na Arsenal ni moja ya Timu inazosaka kuwemo kwenye hizo 10 lakini ni lazima kwanza wawatoe Fenerbahce ya Uturuki

LIGI KUU ENGLAND: MAN CITY WAFANYA MAUAJI!!!! MANCHESTER UNITED v CHELSEA KUCHEZA JUMATATU USIKU


PELLEGRINI-KIDOLE
BOSI mpya wa Manchester City Manuel Pellegrini Usiku huu ameanza himaya yake kwa ushindi mnono baada ya Kikosi chake kuichapa Newcastle Bao 4-0 katika Mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England kwa Msimu wa 2013/14 iliyochezwa Uwanja wa Etihad.

PAMOJA NA KUTOKUWA NA TIMU RASMI - JUMA KASEJA ASEMA MAMBO MAZURI KWAKE NA GAMBIA

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameita kambini wachezaji 24 kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7 mwaka huu nchini humo.

Wednesday, August 7, 2013

Tazama picha za Mtoto wa Usher Raymond anusurika kufa na mama mzazi afungua mashtaka kudai kurudishiwa watoto wake


Mtoto a Usher Raymond mwenye miaka 5 amewahishwa  hospitali kitengo cha watu mahututi (ICU) baada ya kunusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea. Raymond V alikuwa na shangazi yake ndani ya pool lililopo nyumbani pale alipokwama katika tundu la pool hiyo alipokuwa akijaribu kufata toy.

TEVEZ AKATA TAMAA NA ARGENTINA, NUSURA ASTAAFU SOKA!!

CARLOS_TEVEZ-AUG7
STAA kutoka Argentina Carlos Tevez amekataa tamaa kabisa ya kurudi kwenye Timu ya Taifa ya Argentina na nusura astaafu Soka kama si kutokea Juventus ya Italy iliyomnunua Mwezi Juni.

LUIS SUAREZ: LIVERPOOL, NIACHENI NIENDE KWA MZEE WENGER


Luis Suarez ameiambia klabu yake ya Liverpool kuheshimu makubaliano yao ya kumruhusu kuondoka endapo klabu hiyo isingeweza kufuzu kucheza klabu bingwa ya ulaya msimu huu unaokuja.

MESSI, RIBÉRY NA RONALDO NANI KUWA MCHEZAJI BORA ULAYA:

UEFA_BEST_PLAYER

Lionel Messi, Franck Ribéry na Cristiano Ronaldo ndio wameteuliwa kuwemo kwenye Listi yamwisho ya kugombea Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora Ulaya kwa Msimu wa 2012/13 itakayofanyika Agosti 29 kwa kupigiwa Kura Laivu.

JOSE MOURINHO LEO WATANIKOMA, REAL MADRID: LEO USIKU NA CHELSEA FAINALI HUKO USA!

RONALDO-AUG13
KOMBE: Guinness International Champions Cup
UWANJA: Sun Life, Miami Gardens, Florida, USA
MUDA: SAA 10 ALFAJIRI [Bongo Taimu] Jumatano kuamkia Alhamisi Agosti 8

Real Madrid na Chelsea zinakutana leo Usiku huko Florida, USA kwenye Fainali ya Guinness International Champions Cup kwenye Mechi yenye mvuto hasa kuhusiana na Mameneja wao.

MOYES: ROONEY, ATAKIWIKUSHAWISHIKA NA AJIPA NA KIKOSI WAPYA WATAKUJA KABLA DIRISHA KUFUNGWA!’

DAVID_MOYES-INSTRUCTING 














 BOSI wa Manchester United David Moyes amesisitiza Wachezaji wapya watatua Old Trafford kabla Dirisha la Uhamisho kufungwa.


Saturday, August 3, 2013

RAIS KIWETE AWATAKA WASANII WA BONGO FLEVA NA BONGO KUFIKA IKULU!!!!

Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa bongofleva na muigizaji wa Filamu hapa nchini,atambulikae kwa jina la kisanii Zuwena Mohamed a.k.a. Shilole.

GARETH BALE AUTESA MOYO WA CRISTIANO RONALDO REAL MADRID


Wakati Real Madrid wakiwa kwenye harakati za kuvunja rekodi ya usajili kwa kumsajili winga wa Tottenham Gareth Bale, uhamisho ambao unatoa ishara kwamba mwisho wa mchezaji waliyemlipia fedha nyingi zilizovunja rekodi ya dunia Cristiano Ronaldo unakaribia? 

TIZAMA PICHA 9 ZA WEMA SEPETU,JB,CHENI,WAKIMSHUHUDIA MSANII WA BONGO MOVIE SNURA AKIWEKA MAMBO YAKE HADHARANI KUHUSU MWANAE

Mastaa wakali wa filamu B picha yaongo, Wema Sepetu, Jacob Steven ‘JB’na Aunty Ezekiel wakiwa katika pamoja

WENGER PRESHA INAPANDA NA KUSHUKA!!


EMIRATES_CUP





    












 HUKU akikiri kuwa ipo presha kubwa ya kununua Wachezaji kwenye Kipindi hiki cha Uhamisho, Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema watafanya ununuzi kwa Mchezaji anaestahili tu na si kuvamia Soko na kununua Mchezaji ili mradi wametoa Fedha nyingi.