Tuesday, June 17, 2014

BRAZIL YASHIKWA PABAYA,

BRAZIL_v_MEXICO-NEYMAR 














Mechi za Pili kwa Kundi A la Fainali za Kombe la Dunia zimeanza Leo Estadio Castelão, Fortaleza na Wenyeji Brazil kutoka Sare ya 0-0.

Tazama Watoto walia kwa majonzi!!

Jina la mtoto Nasra Mvungi jana lilitawala maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika nchini. Watoto walielezea kilio chao .

Monday, June 2, 2014

TAZAMA:MSHAMBULIAJI Samuel Eto's alichokifanya jana baada ya kuifungia cameroon na kumbusha morinho kwa kwa vitendo alichokizungumza kipind cha nyuma

MSHAMBULIAJI Samuel Eto's jana amerudia kushangilia kama kikongwe baada ya kuifungia Cameroon bao la kuongoza ikitoka safe ya 2-2 na Ujerumani katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia.