Mchezaji mpya, Juan Mata, alianza Mechi yake ya kwanza kwa Man United na kuanzisha muvu iliyozaa Bao la kwanza Mfungaji akiwa Robin van Persie aliekuwa akicheza Mechi yake ya kwanza tangu Desemba 1o alipoumia.
LEO SPURS v CITY, CHELSEA v WEST HAM!
LIGI KUU ENGLAND
MATOKEO:
Jumanne Januari 28
Man United 2 Cardiff 0
Norwich 0 Newcastle 0
Southampton 2 Arsenal 2
Swansea 2 Fulham 0
Crystal Palace 1 Hull 0
Liverpool 4 Everton 0
MAN UNITED 2 CARDIFF 0
Bao la Pili lilifungwa vizuri sana na Ashley Young na kuipa Man United ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Cardiff City ambayo Meneja wao mpya, Ole Gunnar Solksjaer, Nguli wa Man united, alipokewa vizuri na Mashabiki wa Old Trafford.
VIKOSI:
Man United: De Gea; Rafael, Smalling, Evans, Evra; Valencia, Jones, Giggs, Young; Mata, van Persie
Akiba: Lindegaard, Cleverley, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Hernandez, Rooney.
Cardiff: Marshall, Caulker, Hudson, John, McNaughton, Medel, Whittingham, Noone, Mutch, Bellamy, Campbell.
Refa: Craig Pawson
NORWICH 0 NEWCASTLE 0
VIKOSI:
Norwich: Ruddy; Martin, R Bennett, Bassong, Olsson; Snodgrass, Fer, Johnson, Pilkington; van Wolfswinkel, Hooper.
Newcastle: Krul; Debuchy, S.Taylor, Williamson, Santon; Tiote, Sissoko, Anita; Ben Arfa, Remy, Sammy Ameobi.
Refa: Chris Foy
SOUTHAMPTON 2 ARSENAL 2
Vinara wa Ligi, Arsenal, walinasa kuendelea kupaa juu kileleni baada ya kutoka Sare ya Bao 2-2 na Southampton ambao ndio walitangulia kufunga katika Dakika ya 21 kwa Bao la Jose Fonte lililodumu hadi Mapumziko.
Kipindi cha Pili, Olivier Giroud aliisawazishia Arsenal katika Dakika ya 48 na Cazorla kupiga Bao la Pili kwa Arsenal.
Adam Lalallan aliipa Southampton Bao la kusawazisha katika Dakika ya 54 na Mechi kwisha 2-2 na Arsenal kumaliza Mtu 10 bbada Kiungo wao Mathieu Flamini kulambwa Kadi Nyekundu Dakika ya 80 kwa rafu mbaya.
VIKOSI:
Southampton: Boruc, Chambers, Fonte, Yoshida, Shaw, Cork, Schneiderlin, S. Davis, Lallana, Rodriguez, Gallagher.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Flamini, Ozil, Cazorla, Gnabry, Giroud
Refa: Lee Mason
SWANSEA 2 FULHAM 0
Bao za Jonjo Shelvey na Chico zimewapa ushindi wa Bao 2-0 walipoibamiza Fulham.
VIKOSI:
Swansea: Tremmel, Rangel, Chico, Williams, Davies, Britton, de Guzman, Shelvey, Routledge, Hernandez, Bony.
Fulham: Stekelenburg; Riether, Hangeland, Burn, Richardson; Dejagah, Parker, Sidwell, Kačaniklić; Dempsey; Berbatov
Refa: Michael Oliver.
CRYSTAL PALACE 1 HULL CITY 0
Crystal Palace wameifunga Hull City Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 16 la Puncheon.
VIKOSI:
Hull City: McGregor, Bruce, Davies, McShane, Rosenior, Elmohamady, Meyler, Huddlestone, Livermore, Jelavic, Long.
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Gabbidon, Delaney, Moxey, Puncheon, Ward, Jedinak, Bolasie, Chamakh, Jerome.
Refa: Roger East
LIVERPOOL 4 EVERTON 0
Dabi ya Merseyside imemalizika kwa Liverpool kuwaumbua Watani zao Everton Uwanjani Anfield na kuwatandika Bao 4-0.
Hadi Mapumziko, Liverpool walikuwa mbele 3-0 kwa Mabao ya Gerrard, Sturridge, Bao 2, na Suarez kupiga la 4 Kipindi cha Pili.
VIKOSI:
Liverpool: Westerveld, Staunton, Hyypia, Carragher, Heggem, Berger, Hamann, Redknapp, Smicer, Owen, Fowler
Akiba: Henchoz, Meijer, Camara, Nielsen, Gerrard.
Everton: Gerrard, Ball, Gough, Dunne, Weir, Barmby, Collins, Hutchison, Xavier, Campbell, Jeffers
Akiba: Cleland, Gemmill, Ward, Johnson, Simonsen.
Refa: Martin Atkinson
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City
NA
|
TIMU
|
P
|
GD
|
PTS
|
1
|
Arsenal
|
23
|
24
|
52
|
2
|
Man City
|
22
|
38
|
50
|
3
|
Chelsea
|
22
|
23
|
49
|
4
|
Liverpool
|
23
|
29
|
46
|
5
|
Tottenham
|
22
|
3
|
43
|
6
|
Everton
|
23
|
11
|
42
|
7
|
Man Utd
|
23
|
11
|
40
|
8
|
Newcastle
|
23
|
4
|
37
|
9
|
Spton
|
23
|
4
|
32
|
10
|
Swansea
|
23
|
-4
|
24
|
11
|
Aston Villa
|
22
|
-7
|
24
|
12
|
Norwich
|
23
|
-17
|
24
|
13
|
Hull
|
23
|
-7
|
23
|
14
|
Crystal
|
23
|
-16
|
23
|
15
|
West Brom
|
22
|
-5
|
22
|
16
|
Stoke
|
22
|
-14
|
22
|
17
|
Fulham
|
23
|
-28
|
19
|
18
|
West Ham
|
22
|
-11
|
18
|
19
|
Sunderland
|
22
|
-15
|
18
|
20
|
Cardiff
|
23
|
-23
|
18
|
0 comments:
Post a Comment