JUMANNE na Jumatano Usiku zipo Mechi 10 za kwanza za Raundi ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI
ambapo Washindi 10 wa Raundi hii watajumuika na Timu 22 ambazo
zimepitishwa moja kwa moja kwenye Droo ya kupanga Makundi na Arsenal ni
moja ya Timu inazosaka kuwemo kwenye hizo 10 lakini ni lazima kwanza
wawatoe Fenerbahce ya Uturuki
BOSI mpya wa Manchester City Manuel Pellegrini Usiku huu ameanza himaya yake kwa ushindi
mnono baada ya Kikosi chake kuichapa Newcastle Bao 4-0 katika Mechi yao
ya kwanza ya Ligi Kuu England kwa Msimu wa 2013/14 iliyochezwa Uwanja
wa Etihad.
Kocha
Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameita kambini wachezaji 24 kujiandaa
kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa
Septemba 7 mwaka huu nchini humo.
Mtoto a Usher Raymond mwenye miaka 5 amewahishwa hospitali kitengo cha
watu mahututi (ICU) baada ya kunusurika kuzama ndani ya pool la
kuogelea. Raymond V alikuwa na shangazi yake ndani ya pool lililopo
nyumbani pale alipokwama katika tundu la pool hiyo alipokuwa akijaribu
kufata toy.
STAA
kutoka Argentina Carlos Tevez amekataa tamaa kabisa ya kurudi kwenye
Timu ya Taifa ya Argentina na nusura astaafu Soka kama si kutokea
Juventus ya Italy iliyomnunua Mwezi Juni.
Luis Suarez ameiambia klabu yake ya Liverpool kuheshimu
makubaliano yao ya kumruhusu kuondoka endapo klabu hiyo isingeweza
kufuzu kucheza klabu bingwa ya ulaya msimu huu unaokuja.
Lionel Messi, Franck Ribéry na Cristiano Ronaldo ndio wameteuliwa kuwemo kwenye Listi yamwisho ya kugombea Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora Ulaya kwa Msimu wa 2012/13 itakayofanyika Agosti 29 kwa kupigiwa Kura Laivu.
Real
Madrid na Chelsea zinakutana leo Usiku huko Florida, USA kwenye Fainali
ya Guinness International Champions Cup kwenye Mechi yenye mvuto hasa
kuhusiana na Mameneja wao.
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa bongofleva na
muigizaji wa Filamu hapa nchini,atambulikae kwa jina la kisanii Zuwena
Mohamed a.k.a. Shilole.
Wakati
Real Madrid wakiwa kwenye harakati za kuvunja rekodi ya usajili kwa
kumsajili winga wa Tottenham Gareth Bale, uhamisho ambao unatoa ishara
kwamba mwisho wa mchezaji waliyemlipia fedha nyingi zilizovunja rekodi
ya dunia Cristiano Ronaldo unakaribia?
HUKU
akikiri kuwa ipo presha kubwa ya kununua Wachezaji kwenye Kipindi hiki
cha Uhamisho, Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema watafanya
ununuzi kwa Mchezaji anaestahili tu na si kuvamia Soko na kununua
Mchezaji ili mradi wametoa Fedha nyingi.