Tuesday, August 27, 2013

MAJANGA TENA TANZANIA TAZAMA PICHA 8 ZA SAMAKI SAMAKI PUB ILIVYOTEKETEA KWA MOTO










mazingira ya nje ya pub hiyo kabla aijaungua




baadhi ya kitanada kilichokuwepo kwenye pub hiyo









Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.…

Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.



Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.

..Akizidi kutafuta matukio.


Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.


Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.


Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki.

Pichani juu ni baadhi ya taswira za kuteketea kwa baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Baa hiyo imeteketea kwa moto leo asubuhi na chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni bomoa bomoa inayoendelea katika maeneo yaliyo jirani na Barabara ya Bagamoyo. Inadaiwa kuwa mojawapo ya tingatinga lililokuwa linabomoa eneo hilo ndilo lililosababisha maafa hayo.


Tingatinga likibomoa baadhi ya majengo yaliyoko pembezoni mwa barabara ya Bagamoyo leo.
Posted by Thesuperonenews.blogspot.com


0 comments:

Post a Comment