MSHAMBULIAJI
Samuel Eto's jana amerudia kushangilia kama kikongwe baada ya kuifungia
Cameroon bao la kuongoza ikitoka safe ya 2-2 na Ujerumani katika mchezo
wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia.
WAKATI Mabingwa wa England, Manchester United, Usiku huu watatinga ndani ya Karaiskakis Stadium, Jijini Athens, Ugiriki kucheza na Olympiakos kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI,
Kwa kuwa watoto wa kike nao wana haki ya kuhitimu masomo kama ilivyo kwa wenzao wa kiume, chapisho lingine la HakiElimu liitwalo: Mbinu za kufanikisha elimu kwa wasichana
MTOTO wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour aitwaye Amini Salmin, Februari 14 mwaka huu alinaswa akipima Ugonjwa wa Ukimwi ‘ngoma’ katika kituo cha ushauri nasaa cha AMREF Makao Makuu kilichopo Upanga, jijini Dar, Amani linakujuza.