Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa
katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili
yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Hawa ni madada zetu wanaojiuza huko Sinza jijini Dar es salaam,hapa wamekamatwa,wanadai maisha magumu.
Hawa ni madada zetu wanaojiuza huko Sinza jijini Dar es salaam,hapa wamekamatwa,wanadai maisha magumuWWW.Thesuperonenews.blogspot.com
aya bana mkubwa
ReplyDelete