Tuesday, June 18, 2013

Angalia picha 6 za kilichowakuta wasichana wanojiuza jijini dar







Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Hawa ni madada zetu wanaojiuza huko Sinza jijini Dar es salaam,hapa wamekamatwa,wanadai maisha magumu.  
Hawa ni madada zetu wanaojiuza huko Sinza jijini Dar es salaam,hapa wamekamatwa,wanadai maisha magumuWWW.Thesuperonenews.blogspot.com

1 comments: