PIRLO, BALOTELLI WAIPIGIA ITALY, CHICHARITO AIPOZA MEXICO!
PIRLO MECHI 100 ITALY!!
Katika Mechi ya pili ya KUNDI A la
Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara yanayochezwa huko Nchini Brazil,
Italy imeifunga Mexico Bao 2-1 ndani ya Estadio do Maracana, Jijini Rio
De Janeiro.
Mexico 1
-Chicharito Dakika ya 34 (Penati)
Italy 2
-Andrea Pirlo Dakika ya 27
-Mario Balotelli 78
Italy walitangulia kufunga kwa frikiki safi ya Mkongwe Andrea Pirlo aliekuwa akicheza Mechi yake ya 100 kwa Nchi yake.
Mexico walisawazisha kwa Penati nzuri ya Javier Hernandez ‘Chicharito’ aliemchambua Kipa Mkongwe Buffon.
Penati hiyo litolewa baada ya Beki Andrea Barzagli kumchezea rafu Gio dos Santos.
KUNDI A |
|
|
|
|
|
|
|||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Brazil |
1 |
1 |
0 |
0 |
3 |
0 |
3 |
3 |
2 |
Italy |
1 |
1 |
0 |
0 |
2 |
1 |
1 |
3 |
3 |
Mexico |
1 |
0 |
0 |
1 |
1 |
2 |
-1 |
0 |
4 |
Japan |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
3 |
-3 |
0 |
Hadi Mapumziko Bao zilikuwa 1-1.
Kipindi cha Pili, Mario Balotelli, akitumia nguvu na akili alifunga Bao la pili na la ushindi kwa Italy.
Baadae leo Usiku, KUNDI B wataanza Mechi zao kwa Mabingwa wa Dunia, Spain, kuwavaa Mabingwa wa Marekani ya Kusini Uruguay.
VIKOSI:
MEXICO: Corona, Rodriguez, Salcido, Flores, Moreno, Torrado, Aquino, Zavala, Guardado, Giovani, Hernandez
Akiba: Ochoa, Reyes, Molina, Barrera, Reyna, De Nigris, Meza, Herrera, Jimenez, Torres, Mier, Talavera.
ITALY: Buffon, Chiellini, De Sciglio, Abate, Barzagli, Marchisio, De Rossi, Montolivo, Pirlo, Giaccherini, Balotelli
Akiba: Sirigu, Maggio, Astori, Candreva, Aquilani, Giovinco, Gilardino, El Shaarawy, Cerci, Bonucci, Diamanti, Marchetti.
Refa: Enrique Osses (Chile)
RATIBA/MATOKEO:
Juni 15
Brazil 3 Japan 0
Juni16
Mexico 1 Italy 2
Saa 7 Usiku
Spain v Uruguay [Recife]
Jumatatu Juni 17
Saa 4 Usiku
Tahiti v Nigeria [Belo Horizonte]
Jumatano Juni 19
Saa 4 Usiku
Brazil v Mexico [Fortaleza]
Saa 7 Usiku
Italy v Japan [Recife]
Alhamisi Juni 20
Saa 4 Usiku
Spain v Tahiti [Rio De Janeiro]
Saa 7 Usiku
Nigeria v Uruguay [Salvador]
Jumamosi Juni 22
Saa 4 Usiku
Japan v Mexico [Belo Horizonte]
Italy v Brazil [Salvador]
Jumapili Juni 23
Saa 4 Usiku
Nigeria v Spain [Fortaleza]
Uruguay Tahiti [Recife]
NUSU FAINALI
Jumanne Juni 26
[Belo Horizonte]
[SAA 4 USIKU]
Mshindi A v Mshindi wa Pili B
Jumatano Juni 27
[Fortaleza]
[SAA 4 USIKU]
Mshindi B v Mshindi wa Pili A
MSHINDI WA TATU
Jumapili Juni 30
[Salvador]
[SAA 1 USIKU]
FAINALI
Jumapili Juni 30
[Rio De Janeiro]
[SAA 7 USIKU]ww.Thesuperonenews.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment