Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto.
Mdee akijiimarisha kwa ajili ya kumkabili Wolper.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa
Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao wa ndondi katika
Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam. Halima Mdee atazipiga na Jacqueline Wolper
wakati Idd Azan akionyeshana ubabe na Jacob Steven 'JB'
WWW.THESUPERONE NEWS.BLLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment