Wednesday, June 5, 2013

KOMBE LA DUNIA 2014 JAPAN IMEKUWA YA KWANZA DUNIANI KUFIKA NCHINI BRAZIL!


 
BRAZIL_2014_BESTJana Japan walifanikiwa kuwa Nchi ya kwanza Duniani kutinga Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 zitakazochezwa huko Brazil baada ya kutoka sare ya Bao 1-1 na Australia katika Mechi iliyochezwa huko Saitama, Japan.
Sasa Japan wanaungana na Brazil ambao wapo Fainali hizo kwa kuwa wao ni Wenyeji wa Mashindano.
Katika Kundi B la Kanda ya Nchi za Asia, Japan ndio Vinara wanaoongoza wakiwa Pointi 7 mbele ambazo haziwezi kufikiwa na Timu yeyeto nyingine.
Katika Mechi hiyo ya Jana, Australia ndio walitangulia kupata Bao lililofungwa na Tommy Oar lakini Keisuke Honda akaisawazishia Japan kwa Penati ya Dakika za Majeruhi.
Bara la Asia lina Makundi mawili ambapo Washindi wawili wa Juu wa kila Kundi wanaenda Brazil moja kwa moja na Timu nyingine ya tano itatokana baada ya Timu zitazoshika Nafasi za 3 kwenye Makundi kucheza Mechi kati yao na Mshindi kwenda kucheza na Timu kutoka Kanda ya Nchi za Marekani ya Kusini itakayomaliza Nafasi ya 5.
VIKOSI:
Australia: (4-2-3-1) Schwarzer; Wilkshire, Neill, Ognenovski, Mackay; Milligan, Bresciano; Oar, Kruse, Holman; Cahill
Japan: (4-2-3-1) Kawashima; Nagatomo, Yoshida, Konno, Uchida; Endo, Hasebe; Kagawa, Honda, Okazaki; Maeda
RATIBA/MATOKEO:
Jumanne Juni 4
Japan 1 Australia 1
Oman 1 Iraq 0
Qatar 0 Iran 1
Lebanon 1 South Korea 1
Jumanne Juni 11
[Saa ni za Bongo, Kwenye Mabano Matokeo Mechi za Kwanza]
8:00 Australia v Jordan [1-2]
11:00 South Korea  v Uzbekistan [2-2]
14:30 Iraq v Japan [0-1]
16:30 Iran v Lebanon [0-1]
Jumanne Juni 18
11:00 Australia v Iraq [2-1]
15:00 South Korea v Iran [0-1]
15:00 Uzbekistan v Qatar [1-0]
19:00 Jordan v Oman [1-2]
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
South Korea
6
3
2
1
12
6
6
11
2
Uzbekistan
6
3
2
1
6
4
2
11
3
Iran
6
3
1
2
3
2
1
10
4
Qatar
7
2
1
4
4
8
-4
7
5
Lebanon
7
1
2
4
3
8
-5
5
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Japan
7
4
2
1
15
5
10
14
2
Oman
7
2
3
2
7
9
-2
9
3
Australia
6
1
4
1
7
7
0
7
4
Jordan
6
2
1
3
6
12
-6
7
5
Iraq
6
1
2
3
4
6
-2
5

0 comments:

Post a Comment