Kichwa cha Dakika ya 45 cha Steven Naismith kimewapa Everton ushindi wa Bao 1-0 walipoipiga Chelsea Uwanjani Goodison Park na kumpa Jose Mourinho kichapo cha kwanza kwenye Ligi Kuu England.
LIGI KUU ENGLAND
MATOKEO:
Jumamosi 14 Septemba
Man United 2 Crystal Palace 0
Aston Villa 1 Newcastle United 2
Fulham 1 West Bromwich Albion 1
Hull City 1 Cardiff City 1
Stoke City 0 Manchester City 0
Sunderland 1 Arsenal 3
Tottenham Hotspur 2 Norwich City 0
Everton 1 Chelsea 0
Straika mpya wa Chelsea, Samuel Eto'o,
akicheza Mechi yake ya kwanza, alikosa kufunga baada ya Kiungo mpya wa
Everton, Gareth Barry anaetoka Man City kwa Mkopo, kuzuia shuti lake.
Kipa Tim Howard alicheza vizuri kuokoa
shuti la Ramires huku Leighton Baines karibu awape Everton Bao baada ya
shuti lake kupiga posti.
TAKWIMU ZA MECHI:
-KUMILIKI: Everton 43% Chelsea 57%
-MASHUTI: Everton 11 Chelsea 22
-MASHUTI YALIYOLENGA GOLI: Everton 5 Chelsea 5
-KONA: Everton 5 Chelsea 7
-RAFU: Everton 10 Chelsea 12
-KADI: Everton 0 Chelsea 4 [Ivanovic, Luiz, Mikel, Hazard]
Hiki ni kipigo cha kwanza kwa Chelsea kwenye Ligi Kuu England Msimu huu chini ya Meneja wao Mourinho.
VIKOSI:
Everton: Howard, Coleman, Jagielka, Distin, Baines, Osman, Barry, Mirallas, Naismith, Barkley, Jelavic
Akiba: Robles, Heitinga, Oviedo, Deulofeu, McCarthy, Gueye, Stones.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Terry, Cole, Ramires, Mikel, Schurrle, Hazard, Mata, Eto'o
Akiba: Essien, Lampard, Torres, Oscar, De Bruyne, Schwarzer, Cahill.
Refa: Howard Webb
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Jumapili 15 Septemba
18:00 Southampton v West Ham United
Jumatatu 16 Septemba
22:00 Swansea City v Liverpool Posted by Thesuperonenews.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment