Friday, September 13, 2013

MUONE ‘USTAADH’ ALIYENASWA AKIHUBIRI NA KUKUSANYA SADAKA MTAANI


'Ustaadh' akihubiri.
KATIKA hali ya kustaajabisha, kamera ya GPL imemnasa mhubiri aliyekuwa amevalia mavazi ya kiislamu kama Ustaadh. Mhubiri huyo alikuwa akihubiri neno la Mungu kama wafanyavyo wakristo, huku akikusanya sadaka katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam.
POSTED BY THESUPERONENEW.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment