Monday, July 1, 2013

Tazama picha 10 za Tundaman, Mhe. Temba, Linex , ndani ya dar live wafanya maajabu!!!!

Chegge akiwadatisha wapenzi wa burudani wa Dar Live katika Usiku wa Tudd Thomas
.
Izzo B akiongea na Mshua ndani ya Dar Live.
Mwanamuziki Marlaw akiwabembeleza mashabiki wa Dar Live.
Tundaman akiwarusha mashabiki.
Mhe. Temba akifanya makamuzi katika Usiku wa Tudd Thomas.
 
Wanadada kutoka Scorpion Girls, Jini Kabula (kulia) na Isabela Mpanda wakiwadatisha mashabiki.
Mashabiki wakifuatilia burudani ndani ya Dar Live.
Linex akisema na mashabiki wake....Akijichanganya na mashabiki.
Makomandoo wakionyesha umahiri wao stejini.
Msanii Amin akitoa burudani stejini.
Queen Darleen akifanya vitu vyake.
Sehemu ya mashabiki waliohudhuria shoo hiyo.
Quick Lacka akipagawisha.
Baghdad akiwapa raha mashabiki.
Madansa wa Tundaman wakilishambulia jukwaa la Dar Live.
Wasanii mbalimbali wakiwemo Marlaw, Izzo B, Chegge, Tundaman, Mhe. Temba, Amin, Queen Darleen, Quick Lacka, Baghdad, Scorpion Girls, Makomandoo na wengineo usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ya nguvu katika Tamasha la Usiku wa Prodyuza Tudd Thomas lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo pande za Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam. www.Thesuperonenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment