Wednesday, June 12, 2013

ZLATAN IBRAHIMOVIC AIBEBA SWEDEN KWA BAO 2!!


ZLATAN_IBRAHIMOVIC_with_PSGMATOKEO:
Jumanne Juni 11
Belarus 1 Finland 1
Sweden 2 Faroe Islands 0
Denmark 0 Armenia 4

WAKICHEZA UGENINI, Armenia Usiku huu wamewasitua Wenyeji wao BRAZIL_2014Denmark kwa kuwachapa Ba 4-0 katika Mechi ya KUNDI B la Barani Ulaya kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil Mwaka 2014.
Matokeo haya ni pigo kubwa kwa Denmark ambao sasa wako Nafasi ya 5 wakiwa Pointi sawa na Armenia walio Nafasi ya 4 lakini wote Pointi 3 nyuma ya Czech Republic walio Nafasi ya 3, Pointi 4 nyuma ya Bulgaria walio wa pili, na Pointi 8 nyuma ya Vinara Italy.
Mshindi wa Kundi ndie pekee anaenda moja kwa moja Brazil huku Mshindi wa Pili lazima awemo kwenye Timu 8 bora kati ya Makundi 9 ili aingizwe Mechi za Mchujo za Mtoano.
Bao za Armenia zilifungwa na Yura Movsisyan, Bao 2, la kwanza likiwa baada ya Sekunde 24 tu tangu Mechi ianze, na nyingine na Aras Ozbiliz na Henrikh Mkhitaryan.
Katika Mechi ya KUNDI C, Sweden ilijiweka hai ili kufuzu baada ya Straika mahiri Zlatan Ibrahimovic kupiga Bao 2 na kuipa Nchi yake ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Faroe Islands walipocheza Nyumbani.
ULAYA: MAKUNDI
***WASHINDI 9 WA MAKUNDI WATATINGA MOJA KWA MOJA BRAZIL
***WASHINDI WA PILI 8 BORA KATIKA MAKUNDI 9 WATAPANGIWA MECHI SPESHO ZA MCHUJO ZA MTOANO ILI KUPATA TIMU 4 ZITAKAZOKWENDA BRAZIL
KUNDI A


NA
TIMU
P
Pts
1
Belgium
7
19
2
Croatia
7
16
3
Serbia
7
7
4
Wales
6
6
5
Scotland
7
5
6
Macedonia
6
4
KUNDI B


NA
TIMU
P
Pts
1
Italy
6
14
2
Bulgaria
6
10
3
Czech Republic
6
9
4
Armenia
6
6
5
Denmark
6
6
6
Malta
6
3
KUNDI C


NA
TIMU
P
Pts
1
Germany
6
16
2
Austria
6
11
3
Sweden
6
11
4
Republic of Ireland
6
11
5
Kazakhstan
6
1
6
Faroe Islands
6
0
KUNDI D


NA
TIMU
P
Pts
1
Netherlands
6
18
2
Hungary
6
11
3
Romania
6
10
4
Turkey
6
7
5
Estonia
6
6
6
Andorra
6
0
KUNDI E


NA
TIMU
P
Pts
1
Switzerland
6
14
2
Albania
6
10
3
Iceland
6
9
4
Norway
6
8
5
Slovenia
6
6
6
Cyprus
6
4
KUNDI F


NA
TIMU
P
Pts
1
Portugal
7
14
2
Russia
5
12
3
Israel
6
11
4
Azerbaijan
7
4
5
Northern Ireland
5
3
6
Luxembourg
6
3
KUNDI G


NA
TIMU
P
Pts
1
Bosnia
6
16
2
Greece
6
13
3
Slovakia
6
9
4
Lithuania
6
5
5
Latvia
6
4
6
Liechtenstein
6
2
KUNDI H


NA
TIMU
P
Pts
1
Montenegro
7
14
2
England
6
12
3
Ukraine
6
11
4
Poland
6
9
5
Moldova
7
5
6
San Marino
6
0
KUNDI I


NA
TIMU
P
Pts
1
Spain
5
11
2
France
5
10
3
Finland
5
6
4
Georgia
5
4
5
Belarus
6
4

0 comments:

Post a Comment