Saturday, September 28, 2013

MAN UNITED, MAN CITY ZOTE TAABANI!! PATA RATIBA NA MATOKEO YA MICHEZO MINGINE


WBA YAIPIGA UNITED OLD TRAFFORD MARA YA KWANZA TANGU 1978!
NI MWANZO MBOVU KWA UNITED KWENYE LIGI TANGU 1989/90!

RATIBA/MATOKEO:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
Jumamosi 28 Septemba
Tottenham Hotspur 1 Chelsea 1
Aston Villa 3 Manchester City 2
Fulham 1 Cardiff City 2
Hull City 1 West Ham United 0
Manchester United 1 West Bromwich Albion 2
Southampton 2 Crystal Palace 0
19:30 Swansea City v Arsenal
MANCHESTER UNITED 1 WEST BROMWICH ALBION 2
Bao la Kijana wa Miaka 20, Saido Berahino, limewapa West Brom ushindi wao wa kwanza dhidi ya Manchester United Uwanjani Old Trafford tangu Mwaka 1978 kwa kushinda Bao 2-1.
Bao zote zilifungwa Kipindi cha Pili na WBA walitangulia kufunga kupitia Morgan Amalfitano na Wayne Rooney kusawazisha Dakika 3 baadae.
Marouane Fellaini aliweza kuisawazishia Man United lakini Bao hilo lilikatawaliwa kwa Ofsaidi na kuifanya Man United iwe imeanza vibaya Ligi kupita wakati wowote tangu Msimu wa 1989/90.
VIKOSI:
Man United: De Gea, Jones, Ferdinand, Evans, Buttner, Nani, Carrick, Anderson, Kagawa, Rooney, Hernandez
Akiba: Evra, Welbeck, van Persie, Valencia, Fellaini, Amos, Januzaj.
West Brom: Myhill, Billy Jones, Olsson, McAuley, Ridgewell, Yacob, Mulumbu, Amalfitano, Sessegnon, Sinclair, Anichebe
Akiba: Popov, Rosenberg, Lugano, Dorrans, Luke Daniels, Dawson, Berahino.
Refa: Michael Oliver
ASTON VILLA 3 MANCHESTER CITY 2
Manchester City wameikosa nafasi ya kuongoza Ligi baada ya kufungwa Bao 3-2 na Aston Villa Uwanjani Villa Park.
Yaya Toure ndie aliefunga Bao la kwa kwanza kwa City na Villa kusawazisha kwa Bao la Karim El Ahmadi lakini Edin Dzeko akafunga Bao la pili kwa City.
Aston Villa wakasawazisha kwa frikiki ya Leandro Bacuna na Andreas Weimann kuwafungia Bao la 3 katika Dakika ya 75.
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Bacuna, Vlaar, Baker, Luna, El Ahmadi, Clark, Delph, Sylla, Weimann, Kozak
Akiba: Bennett, Helenius, Albrighton, Steer, Bowery, Tonev, Lowton.
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Kolarov, Milner, Fernandinho, Toure, Nasri, Negredo, Dzeko
Akiba: Richards, Lescott, Javi Garcia, Jesus Navas, Clichy, Pantilimon, Jovetic.
Refa: Mike Jones
FULHAM 1 CARDIFF CITY 2
Bao la Dakika ya 90 la Mutch alietoka Benchi limewapa ushindi wa Bao 2-1 Cardiff City waliokuwa Ugenini Craven Cottage kucheza na Fulham.
Cardiff walitangulia kwa Bao la Caulker katika Dakika ya 13 na Fulham kusawazisha katika Dakika ya 45 kupitia Ruiz.
VIKOSI:
Fulham: Stockdale, Riether, Hangeland, Amorebieta, Richardson, Kasami, Parker, Sidwell, Kacaniklic, Berbatov, Bent
Akiba: Senderos, Ruiz, Karagounis, Taarabt, Rodallega, Zverotic, Etheridge.
Cardiff: Marshall, Theophile-Catherine, Caulker, Turner, Taylor, Medel, Gunnarsson, Whittingham, Kim, Campbell, Odemwingie
Akiba: Hudson, Noone, Mutch, Cowie, Maynard, Lewis, Bellamy.
Refa: Craig Pawson
HULL CITY 1 WEST HAM UNITED 0
Penati ya utata ya Robbie Brady ya Dakika ya 12 imewapa Hull City ushindi wa Bao 1-0 walipocheza na West Ham.
Penati hiyo ilitolewa baada ya kudaiwa Joey O'Brien amemsukuma Brady.
VIKOSI:
Hull: McGregor, Rosenior, Faye, Davies, Figueroa, Elmohamady, Huddlestone, Livermore, Brady, Aluko, Graham
Akiba: Bruce, Meyler, McShane, Boyd, Sagbo, Harper, Quinn.
West Ham: Jaaskelainen, Reid, O'Brien, Tomkins, Rat, Diame, Noble, Morrison, Nolan, Jarvis, Maiga
Akiba: Vaz Te, Adrian, Taylor, Collins, Demel, Downing, Petric.
Refa: Kevin Friend
SOUTHAMPTON 2 CRYSTAL PALACE 0
Bao za Dani Osvaldo Dakika ya 47 na Rickie Lambert Dakika ya 49 zimewapa Southampton ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na Crystal Palace.
VIKOSI:
Southampton: Boruc, Clyne, Fonte, Lovren, Shaw, Wanyama, Schneiderlin, Lallana, Osvaldo, Steven Davis, Lambert
Akiba: Kelvin Davis, Rodriguez, Ramirez, Ward-Prowse, Cork, Chambers, Hooiveld.
Crystal Palace: Speroni, Ward, Mariappa, Gabbidon, Moxey, Dikgacoi, Jedinak, Kebe, Gayle, Bannan, Chamakh
Akiba: Parr, Campana, Phillips, O'Keefe, Thomas, Jerome, Price.
Refa: Martin Atkinson
RATIBA:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
Jumapili 29 Septemba
15:30 Stoke City v Norwich City
18:00 Sunderland v Liverpool
Jumatatu 30 Septemba
22:00 Everton v Newcastle United
Posted by Thesuperonenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment