Katika ishara nyengine
kuonesha jinsi vita vya Syria vinavoathiri taratibu utulivu katika nchi
ya jirani ya Libnan, askari huko wanasema wapiganaji kadha wa Syria
waliuwawa Jumamosi usiku katika mapambano na vikundi vya Hezbollah
nchini Libnan karibu na mpaka wa Syria.

Jumamosi makombora na mizinga kadha ilirushwa dhidi ya eneo hilo na makombora zaidi yamepiga piya mitaa ya kusini mwa Beirut.
Wapiganaji wa Syria wamesema watafanya mashambulio ndani ya Libnan kulipiza wapiganaji wa Hezbollah kumsaidia kivita rais wa Syria, Bashar al Assad.
0 comments:
Post a Comment