TAZAMA PICHA 11 ZA CHRISTIAN BELLA AKIKALIBISHWA RASIMI DIAMOND MUSICA BAND
Bendi
ya Diamond Musica ikiwajibia stejini wakati wa onyesho lao la
kumkalibisha Christian Bella Nchini lilio fanyika Mzalendo Pub Jijini
Dar
Mai Matha akiwa jukwaani akimkaribisha Christian Bella kupanda jukwaani.
Christian Bella akiwa tayarim jukwaani.
Mashabiki wakimpatia zawadi.
Kushoto ni Banana Zolloo akiimba na Christian Bella kulia.
Dully, nae akiwa jukwani na Christin Bella akionesha ujanja wake
kulia na Mkongo akiwatazama watazamaji wanavyoselebuka.
Bendi ya Diamond Musica ikiwa katika Ukumbi wa Mzalendo Pub huku
ikisindikizwa na Christian Bella akiwa na Madansa wa bendi hiyo huku pia
wakiwepo wasanii wa muziki wa Bongo Fleva Banana Zollo na Dully Sykes
usiku wa kuamkia leo.
0 comments:
Post a Comment