Msanii Noorah ameungana na wasanii wengine kuuaga ukapela na kuingia
katika maisha ya ndoa.harusi ya Noorah yafanyika nyumbani kwao mkoani
Shinyanga.wasanii wengine waliooa karibuni ni pamoja na Shettah, Black
rhymo, H baba na wengineo..Kila la kheri brother
0 comments:
Post a Comment