Monday, June 10, 2013

MWANA FA NA DOMOKAYA KUFANYA KWELI KWENYE THE FINEST RELOADED SASA NI JUNE 14TH

Ile classic show iliyohairishwa kufanyika kupisha mazishi ya mpendwa wetu Albert Mangweha a.k.a Ngwea, sasa inatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 14 ndani ya jumba la makumbusho ya taifa
 opposite na chuo cha IFM. Show hiyo inayoongozwa na Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana FA itakuwa na wasanii wengine kama Mandojo na Domokaya, Njenje Band na wengineo ikiwa ni surprise kwako....

0 comments:

Post a Comment