Wednesday, June 26, 2013

MTOTO WA MNADHIMU WA JWTZ YUPO MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI





Mama mmoja ajulikanae kwa jina la Magreth Simon Nkwera ambae ni mtoto wa kwanza wa mnadhimu mkuu wa kwanza wa JWTZ Brig Gen Simon Nkwera amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji kulia akijaribu kutekeleza jaribio la kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewewe na baadhi ya ndugu zake huko kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa kizimbani.

Posted by www.Thesupronenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment