KATIKA
Listi ya FIFA ya Ubora Duniani iliyotolewa leo, Mabingwa wa Dunia Spain
bado Nambari Wani wakifuatiwa na Timu zile zile 3 toka Mwezi uliopita,
yaani Germany, Argentina na Croatia, huku Tanzania ikipanda Nafasi 7
kutoka 116 hadi 109.
Kwa Nchi za Afrika, Côte d'Ivoire ndio ipo Nafasi ya juu kabisa ikiwa Nafasi ya 13 ikifuatiwa na Ghana iliyo Nafasi ya 20.
Brazil, ambayo imeathirika kwa kucheza
Mechi za Kirafiki tu kwa Miaka miwili, imeporomoka Nafasi 2 na sasa ipo
Nafasi ya 22 lakini kushiriki kwao katika Mashindano rasmi ya FIFA ya
kugombea Kombe la Mabara yatakayochezwa Nchini kwao kuanzia Juni 15,
ikiwa watafanya vizuri, kutawasaidia sana kupanda chati.
Toleo jingine la Listi ya FIFA ya Ubora Duniani litatolewa Julai 4.
25 BORA:
1 Spain
2 Germany
3 Argentina
4 Croatia
5 Netherlands
6 Portugal
7 Colombia
8 Italy
9 England
10 Ecuador
11 Russia
12 Belgium
13 Côte d'Ivoire
14 Switzerland
15 Bosnia-Herzegovina
16 Greece
17 Mexico
18 France
19 Uruguay
20 Denmark
21 Ghana
22 Brazil
23 Mali
24 Czech Republic
25 Chile
NCHI ZINAZOIZUNGUKA TANZANIA:
104 Qatar
105 Lithuania
106 Ethiopia
107 Niger
108 Saudi Arabia
109 Malawi
109 Tanzania [IMEPANDA NAFASI 7]
111 Kuwait
112 Tajikistan
113 Suriname
114 Korea DPR
115 Benin 308
116 Northern Ireland
0 comments:
Post a Comment