Monday, June 17, 2013

KOMBE LA MABARA: SPAIN YAIFUNGA URUGUAY!

FIFA_CONFEDERATION_CUP_BRAZIL_2013LEO NI MABINGWA WA AFRIKA NIGERIA v TAHITI!
Katika Mechi ya kwanza ya KUNDI B la Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara yanayochezwa huko Nchini Brazil, Mabingwa Dunia Spain wameifunga Uruguay Bao 2-1 katika Mechi iliyochezwa huko Arena Pernambuco Mjini Recife.
RATIBA LEO:
Jumatatu Juni 17
Saa 4 Usiku
Tahiti v Nigeria [Belo Horizonte]
Bao za Spain waliotwala kabisa Mechi hii zilifungwa na Pedro na Roberto Soldado huku kile kifuatia machozi cha Uruguay kilifungwa mwishoni na Luis Suarez.
MAGOLI:
Spain 2
-Pedro Dakika ya 20
-Soldado 32
Uruguay 1
-Suarez Dakika ya 88
Kocha wa Spain, Vicente del Bosque, amesema ushindi wao huo ni muhimu hasa kwa kupata Pointi 3 katika Mechi ya kwanza ambayo alikiri walichoka mwishoni.
KUNDI B








NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Spain
1
1
0
0
2
1
1
3
2
Uruguay
1
0
0
1
1
2
-1
0
3
Nigeria
0
0
0
0
0
0
0
0
4
Tahiti
0
0
0
0
0
0
0
0
Vicente del Bosque alisema: “Joto lilikuwa kali na mwishoni tulichoka.Kipindi cha Kwanza tulicheza vizuri sana.”
Mashindano haya ya FIFA ni mahsusi kuipima Brazil ambao ni Wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia Mwakani.
VIKOSI:
SPAIN: Casillas, Arbeloa, Sergio Ramos, Pique, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Fabregas, Pedro, Soldado, Iniesta 
Akiba: Valdes, Albiol, Javi Martinez, Azpilicueta, Villa, Torres, Mata, Monreal, Cazorla, Silva, Jesus Navas, Reina.
URUGUAY: Muslera, Maxi Pereira, Lugano, Godin, Caceres, Rodriguez, Gargano, Perez, Ramirez, Suarez, Cavani
Akiba: Castillo, Coates, Pereira, Eguren, Forlan, Hernandez, Aguirregaray, Lodeiro, Arevalo Rios, Scotti, Gonzalez, Silva. 
REFA: Yuichi Nishimura (Japan)
RATIBA/MATOKEO/MSIMAMO:
KUNDI A








NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Brazil
1
1
0
0
3
0
3
3
2
Italy
1
1
0
0
2
1
1
3
3
Mexico
1
0
0
1
1
2
-1
0
4
Japan
1
0
0
1
0
3
-3
0
Juni 15
Brazil 3 Japan 0
Juni16
Mexico 1 Italy 2
Saa 7 Usiku
Spain 2 Uruguay 1
Jumatatu Juni 17
Saa 4 Usiku
Tahiti v Nigeria [Belo Horizonte]
Jumatano Juni 19
Saa 4 Usiku
Brazil v Mexico [Fortaleza]
Saa 7 Usiku
Italy v Japan [Recife]
Alhamisi Juni 20
Saa 4 Usiku
Spain v Tahiti [Rio De Janeiro]
Saa 7 Usiku
Nigeria v Uruguay [Salvador]
Jumamosi Juni 22
Saa 4 Usiku
Japan v Mexico [Belo Horizonte]
Italy v Brazil [Salvador]
Jumapili Juni 23
Saa 4 Usiku
Nigeria v Spain [Fortaleza]
Uruguay Tahiti [Recife]
NUSU FAINALI
Jumanne Juni 26
[Belo Horizonte]
[SAA 4 USIKU]
Mshindi A v Mshindi wa Pili B
Jumatano Juni 27
[Fortaleza]
[SAA 4 USIKU]
Mshindi B v Mshindi wa Pili A
MSHINDI WA TATU
Jumapili Juni 30
[Salvador]
[SAA 1 USIKU]
FAINALI
Jumapili Juni 30
[Rio De Janeiro]

0 comments:

Post a Comment