
KATIKA Mechi ya ufunguzi rasmi ya Uwanja
wa Maracana, jina rasmi Estadio Jornalista Mário Filho, huko Mjini Rio
De Janeiro, Wenyeji Brazil walitoka sare ya Bao 2-2 na England hapo juzi
Usiku
.
Brazil walitawala Kipindi chote cha kwanza lakini hawakupata Bao hasa kutokana na kusimama imara kwa Kipa Joe Hart.
MAGOLI:
Brazil 2
-Fred Dakika ya 57
-Paulinho 82
-England 2
- Oxlade-Chamberlain Dakika ya 67
-Rooney 79
Bao zote 4 za Mechi hiyo zilifungwa
Kipindi cha Pili na Brazil ndio waliotangulia kufunga kupitia Fred
lakini Alex Oxlade-Chamberlain alisawazisha Bao hilo.
Huo ulikuwa ni wakati wa kukumbukwa sana
kwani Baba yake Mzazi Alex Oxlade-Chamberlain, Mark Chamberlain,
aliekuwa Winga wa Stoke City, aliichezea England mara ya mwisho
ilipocheza Maracana Mwaka 1984 na kuifunga Brazil Bao 2-0 katika Mechi
ya Kirafiki.
England walitangulia na kuwa Bao 2-1 kwa
Bao la Wayne Rooney kwa Shuti la Mita 25 huku zikiwa zimebaki Dakika 11
Mpira kwisha lakini Paulinho aliisawazishia Brazil Dakika 3 tu baadae.
VIKOSI:
Brazil:
12 Julio Cesar
02 Alves
03 Thiago Silva
04 David Luiz
14 Filipe (Marcelo - 46' )
11 Oscar (da Silva Lucas - 56' )
17 Dias (Hernanes - 46' )
18 Paulinho (Bernard - 83' )
09 Fred (Leandro Damiao - 80' )
10 Neymar
19 Hulk Booked (Fernando Martins - 72' )
Akiba:
01 Jefferson
22 Cavalieri
06 Marcelo
15 Dante
16 Araujo Rever
05 Fernando Martins
07 da Silva Lucas
08 Hernanes
13 Jean
20 Bernard
23 Jadson
21 Leandro Damiao
England:
01 Hart
02 Johnson (Oxlade-Chamberlain - 61' )
03 Baines (Cole - 31' )
05 Cahill
06 Jagielka
07 Jones Booked
04 Carrick
08 Lampard
09 Walcott (Rodwell - 84' )
11 Milner
10 Rooney
Akiba:
13 Foster
18 McCarthy
12 Cole
14 Lescott
15 Rodwell
16 Oxlade-Chamberlain
17 Defoe
MATOKEO MECHI NYINGINE ZA KIRAFIKI:
Lesotho 0 South Africa 2
Sudan 0 Tanzania 0
Algeria 2 Burkina Faso 0
Ireland 4 Georgia 0
Ukraine 0 Cameroon 0
United States 4 Germany 3
0 comments:
Post a Comment