Saturday, June 22, 2013

Diamond akiwa nchini comoro akila bata kabla show na mashabiki angali picha na stoly kamili hapa

Comoro4





Dimond Platnumz na crew yake ya Wasafi wamewasili nchini Comoro jana jioni tayari kwa makamuzi ya show itakayofanyika leo Jumamosi (June 22).
Kupitia website yaye Platnumz ameweka picha za mapokezi yake na Wasafi jana jioni walipowasili Comoro


                               Comoro1






Comoro2


Diamond Comoro interview
Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo cha TV cha Comoroposted by www.Thesuperonenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment