TANZANIA YABAKI YA PILI POINTI IKIWA5, IVORY COAST JUU POINTI 10

Kipigo hiki kwa Taifa Stars na ushindi wa Jana wa Ivory Coast kumeifanya njia nyeupe kwa Ivory Coast kufuzu kwani wako Pointi 5 mbele ya Timu ya Pili Tanzania na kila Timu kwenye KUNDI C imebakiza Mechi 2 tu.
Bao za Morocco zilifungwa na Abdelrazak
Hamdallah, kwa Penati ya Dakika ya 29, na Youssef El Arabi, Dakika ya 51
na lile la Taifa Stars kufungwa na Amri Kiemba katika Dakika ya 61.
Katika Dakika ya 39, Mchezaji Morris wa Taifa Stars alitolewa kwa Kadi Nyekundu.
KUNDI C
[Kila Timu imecheza Mechi 4[
Ivory Coast Pointi 10
Tanzania 6
Morocco 5
Gambia 1
Katika Mechi nyingine ya KUNDI C
iliyochezwa pia Jana, Ivory Coast, ikicheza Ugenini, iliinyuka Gabon Bao
3-0 kwa Mabao yaliyofungwa na Traore, Bony Wilfried na Yaya Toure.
RATIBA/MATOKEO:
Jumatano Juni 5
Kenya 0-1 Nigeria
Malawi 0-0 Namibia
Ijumaa Juni 7
Libya 0 Congo, DR 0
Sudan 1 Ghana 3
Jumamosi Juni 8
Uganda 1 Liberia 0
Zambia 4 Lesotho 0
Botswana 1 Ethiopia 2
Central African Republic 0 South Africa 3
Gabon 0 Congo 0
Angola 1 Senegal 1
Gambia 0 Ivory Coast 3
Sierra Leone 2 Tunisia 2
Cape Verde 2 Equatorial Guinea 1
Morocco 2 Tanzania 1
Jumapili Juni 9
Niger v Burkina Faso
Zimbabwe v Egypt
Guinea v Mozambique
Benin v Algeria
Mali v Rwanda
Togo v Cameroon
0 comments:
Post a Comment