Friday, July 5, 2013

Lulu tangu atoke rumande asita kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote


Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael (Lulu), amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipotoka rumande, 
.sababu za yeye kukaa kimya tangu awe huru,
 akiri kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu yoyote kwa sasa na  mambo asiyokuja kuyasahau maishani mwake,pamoja na project anayoifanya kwa sasa 
 

0 comments:

Post a Comment