UWANJA: GRÊMIO ARENA, PORTO ALEGRE, BRAZIL, SAA 4 USIKU

Katika Mechi ya leo, Kocha wa Brazil,
Luiz Felipe Scolari, anatarajiwa kuchezesha Kikosi kile kile
kilichocheza na England na labda kufanya badiliko moja kwa kumchezesha
Marcelo badala ya Filipe Luís.
VIKOSI VINARAJIWA:
Brazil: Júlio César, Daniel Alves, Thiago Silva, David Luiz, Marcelo, Luiz Gustavo, Paulinho, Oscar, Hulk, Neymar, Fred
Kocha: Luiz Felipe Scolari
France: Lloris, Debuchy, Rami, Sakho, Mathieu, Cabaye, Matuidi, Payet, Valbuena, Gourcuff, Benzema
Kocha: Didier Deschamps
Waamuzi: Victor Carrillo, Jonny Bossio na César Escano (Wote toka Peru)
0 comments:
Post a Comment