Wednesday, June 26, 2013

TEVEZ TAYALI AANGALIA KAMA JEZI 10 INAMTOSHA JUVENTUS

   
Mshambuliaji wa kiargentina Carlos Tevez amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Juventus kwa ada ya uhamisho ya paunfi millioni 10. Tevez aliwasili leo jijini Turin na moja kwa moja akaenda kufanyiwa vipimo kisha kusaini mkataba wa miaka 3 wa kuitumikia Juventus.

Tevez ambaye ni mchezaji wa zamani wa West Ham, Man United na Man City amepewa jezi 10 aliyokuwa akivaa gwiji wa Juventus Alesandro Del Pierro.Posted by www. Thesuperonenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment