MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka
kuwa, suala la wasanii wa muziki kurogana linamuumiza kichwa kiasi cha
kufikiria kuachana na kazi hiyo.
Ameongea pasipo kuwataja ‘wabaya’ wake, Shilole
alisema hivi sasa ‘kesi’ za wasanii kurogana zimeshika kasi kuliko siku
za nyuma na anashindwa kuelewa ni kwa nini watu wanamuasi Mungu kwa
kuendekeza ushirikina.
“Kwa staili hii wasanii tutazidi kupukutika,
kuna wakati huwa nafikiria hata kuachana na muziki maana tunarogana na
namuomba Mungu usiku na mchana hata kabla ya kupanda stejini kwani hali
ni tete,” alisema Shilole.
Thesuperonenews.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment