Thursday, June 20, 2013

Mh.Mbowe,akiwa Mh.Lema wajisalimisha kituo cha Polisi mkoani Arusha


Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema wmeamua kujisalimisha kituo cha polisi mloani Arusha  baada ya kutafutwa jana kuwa nzima hiyo ikiwa ni  kutokana na Maangizo ya mabomu moaki hapo lakini pia Polisi walitaka  kuwahoji kuhusiana na Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha. Baada ya Mohojiano hayo wanatarajia kushiriki kuaga mwili wa Marehemu Judith Moshi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Arusha, anayeagwa leo na kutarajia kuzikwa mjini Arusha leo.Posted by www.Thesuperonenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment