Ikaja Mikwaju ya Penati Tano Tano bado
ikamalizika 5-5 na ilipokuja Tombola ya Penati za ziada moja moja, Spain
waliibuka kidedea kwa kushinda kwa Jumla ya Penati 7-6 baada ya
Leonardo Bonucci kupaisha Penati ya 7 ya Italy.
MIKWAJU YA PENATI:
-Wapigaji:
SPAIN 7
-Xavi
-Andres Iniesta
-Gerard Pique
-Sergio Ramos
-Juan Mata
-Sergio Busquets
-Jesus Navas
ITALY 6
-Antonio Candreva
-Alberto Aquilani
-Daniele De Rossi
-Seb Giovinco
-Andrea Pirlo
-Riccardo Montolivo
-Leonardo Bonucci [ALIKOSA-Mpira wapaa!!]
Katika muda mwingi wa Dakika 90 za kawaida, Italy walionekana wako juu lakini watajutia kwa nafasi zao nyingi walizokosa.
Baada ya Dakika 30 za Nyongeza
kumalizika, ikaja Mikwaju ya Penati na Beki wa Italy, Leonardo Bonucci,
alikosa Penati ya 7 ya Italy kwa kupaisha Mpira juu huku Jesus Navas,
alieingizwa toka Benchi, akifunga Penati ya 7 ya Spain na kuwapa ushindi
wa Penati 7-6.
Jumapili, Spain watacheza Fainali na Brazil ambao waliwafunga Uruguay 2-1 katika Nusu Fainali nyingine.
Italy na Uruguay zitacheza mapema Jumapili kusaka Mshindi wa Tatu.
VIKOSI:
SPAIN: Casillas, Arbeloa, Sergio Ramos, Pique, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Pedro, Torres, Silva
Akiba: Valdes, Albiol, Javi Martinez, Azpilicueta, Villa, Fabregas, Mata, Soldado, Monreal, Cazorla, Jesus Navas, Reina.
ITALY: Buffon, Maggio, Bonucci, Barzagli, Chiellini, Candreva, De Rossi, Pirlo, Marchisio, Giaccherini, Gilardino
Akiba: Sirigu, Astori, De Sciglio, Aquilani, Giovinco, El Shaarawy, Cerci, Montolivo, Diamanti, Marchetti.
Refa: Howard Webb (England)
RATIBA/MATOKEO:
NUSU FAINALI
Jumatano Juni 26
Brazil 2 Uruguay 1
Alhamisi Juni 27
Spain 0 Italy 0 [Penati 7-6]
MSHINDI WA TATU
Jumapili Juni 30
[Salvador]
[SAA 1 USIKU]
Uruguay v Italy
FAINALI
Jumapili Juni 30
[Rio De Janeiro]
[SAA 7 USIKU]
Brazil v Spain
0 comments:
Post a Comment