TANGU KOCHA ALEJANDRO SABELLA ATEULIWE, TEVEZ HAJAIONA ARGENTINA


Pamoja na Gago, Wachezaji wengine
wanaocheza ndani ya Argentina ni mwenzake wa Klabu ya Velez Sarsfield,
Gino Peruzzi, na Kipa wa Boca Juniors, Agustin Orion.
Kuachwa kwa Carlos Tevez kwenye Timu ya
Argentina ni kitu cha kawaida kwa Kocha wa Timu hiyo, Alejandro Sabella,
ambaye hajamwita hata mara moja tangu Kocha huyo achukue madaraka Mwaka
2011.
Tevez ameichezea Argentina mara 62 na kufunga Goli 13.
Kwenye Mechi za Kanda ya Nchi za
Marekani ya Kusini za kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka
2014, Argentina, ambao ndio Vinara, Ijumaa watacheza Nyumbani na
Colombia na Siku 4 baadae watasafiri kuivaa Ecuador ambayo inashika
Nafasi ya Pili.
KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Sergio Romero (Sampdoria), Mariano Andujar (Catania), Agustin Orion (Boca Juniors)
MABEKI: Pablo Zabaleta
(Manchester City), Hugo Campagnaro (Napoli), Ezequiel Garay (Benfica),
Federico Fernandez (Getafe), Fabricio Coloccini (Newcastle United), Jose
Basanta (Monterrey), Marcos Rojo (Sporting Lisbon), Gino Peruzzi (Velez
Sarsfield)
VIUNGO: Javier
Mascherano (Barcelona), Fernando Gago (Velez Sarsfield), Ever Banega
(Valencia), Walter Montillo (Santos), Jose Sosa (Metalist Kharkiv),
Augusto Fernandez, (Celta Vigo), Lucas Biglia (Anderlecht), Pablo
Guinazu (Libertad), Angel Di Maria (Real Madrid), Erik Lamela (AS Roma)
MAFOWADI: Lionel Messi
(Barcelona), Gonzalo Higuain (Real Madrid), Ezequiel Lavezzi (Paris
Saint-Germain), Rodrigo Palacio (Inter Milan), Sergio Aguero (Manchester
City)
RATIBA
[Saa ni za Bongo, Kwenye Mabano Matokeo Mechi za Kwanza]
Ijumaa Juni 7
22:00 Bolivia v Venezuela [0-1]
00:05 Argentina v Colombia [2-1]
Jumamosi Juni 8
00:10 Paraguay v Chile [0-2]
02:10 Peru v Ecuador [0-2]
Jumanne Juni 11
22:30 Colombia v Peru [1-0]
23:00 Ecuador v Argentina [0-4]
Jumatano Juni 12
00:00 Venezuela v Uruguay [1-1]
00:30 Chile v Bolivia [2-0]
Jumapili Septemba 8
00:00 Colombia v Ecuador [0-1]
00:00 Chile v Venezuela [2-0]
00:00 Paraguay v Bolivia [1-3]
00:00 Peru v Uruguay [2-4]
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Argentina |
11
|
7
|
3
|
1
|
24 |
8 |
16 |
24 |
2 |
Ecuador |
10
|
6
|
2
|
2
|
16 |
10 |
6 |
20 |
3 |
Colombia |
10
|
6
|
1
|
3
|
19 |
7 |
12 |
19 |
4 |
Chile |
11
|
5
|
0
|
6
|
16 |
19 |
-3 |
15 |
5 |
Venezuela |
11
|
4
|
3
|
4
|
9 |
12 |
-3 |
15 |
6 |
Uruguay |
11
|
3
|
4
|
4
|
17 |
21 |
-4 |
13 |
7 |
Peru |
10
|
3
|
2
|
5
|
11 |
15 |
-4 |
11 |
8 |
Bolivia |
11
|
2
|
3
|
6
|
13 |
20 |
-7 |
9 |
9 |
Paraguay |
11
|
2
|
2
|
7
|
8 |
21 |
-13 |
8 |
**FAHAMU: Timu 4 za Juu
zitafuzu moja kwa moja kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2014 huko
Brazil na Timu ya 5 itakwenda kucheza Mechi ya Mchujo na Timu kutoka
Kanda ya ASIA kupata Timu 1 ya kuingia Fainali.
0 comments:
Post a Comment