Sunday, June 23, 2013

ANGALI KILICHOTOKEA KATIKA TAMASHA LA SIKU YA MUZIKI DUNIANI JIJINI DAR ‏Kbaadhi ya wasanii waliokuwepo kala Jeremiah,Barnaba,Ben Pol na wenine wengi




 Super Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye Tamasha la Siku ya Muziki Duniani lililonyika juzi (Ijumaa) kwenye Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 Mratibu wa Utamaduni wa…
 Super Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye Tamasha la Siku ya Muziki Duniani lililonyika juzi (Ijumaa) kwenye Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 Mratibu wa Utamaduni wa Goethe Institut-Tanzania, Daniel Semheho (kulia) akiteja jambo na kiongozi wa kundi la Super Maya Baikoko Juma Nassoro (kushoto) katikati ni Mzungu Kichaa.
 Godzilla mzigoni.
 Ben Pol akipagawisha.
 Sarakasi pia zilikuwepo, kutoka Makini Kids.
 Msanii Nyemo akifanya vitu vyake stejini.
 Barnaba na bendi yake.
 Jhiko Man.
Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki.
---
Tamasha la Siku ya Muziki Duniani lililoandaliwa na Umoja wa Ulaya wa Taasisi za Utamaduni (EUNIC) na kudhaminiwa na Fastjet, Pepsi, Total na balozi za Ujerumani na Ufaransa lilifana vilivyo katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam siku ya Ijumaa Juni 21 mwka huu. Pichani juu ni baadhi ya matukio ya burudani yaliyochukua nafasi siku hiyo.posted by www.thesuperonenews.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment