STAA wa sinema za Kibongo, Simon Mwakipagata ‘Rado’ amefunguka kuwa Wema Sepetu ‘Madam’ aliponea chupuchupu kwani ilibaki kidogo amng’oe meno.
Wema Sepetu ‘Madam’.
Akizungumza na Stori, hivi karibu baada ya kukumbushiwa tukio hilo
lililotokea hivi karibuni katika ofisi za Wema zilizopo Mwananyamala
jijini Dar kupitia kipindi cha mlimbwende huyo cha In My Shoes, Rado
alifafanua:“Nilimlipa Wema afanye filamu yangu na kabla haijaisha yeye akaenda kutoa nywele na kila kitu bila kuniambia jambo ambalo halitakiwi kwenye filamu ndiyo maana nilifanya vile na siku ile ningemtoa meno,” alisema Rado.Posted by http://thesuperonenews.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment