Gwiji huyu wa soka wa Brazil - alikuwa daktari kabisa lakini akachagua soka na kuachana na kuvaa koti jeupe.
2. MAROUANE CHAMAKH
Flop huyu wa ARSENAL pamoja na ubutu wake uwanjani lakini darasani alikuwa hatari - Chamakh ni mhasibu.
3 NEDUM ONUOHA
Kijana huyu anayekipiga kwenye timu ya QPR ni kichwa sana darasani. Onuoha aliwahi kupata a tatu kwenye masomo yake ya Hesabu, Biashara na Information Technology - Onuoah alifaulu vizuri mno kwenye masomo yake chuoni.
4 SHAKA HISLOP
5 JUAN MATA
Mchezaji huyu
wa CHELSEA inawezekana ndio akawa mwanasoka mwenye elimu zaidi kuliko
wote ndani ya kikosi cha Jose Mourinho - ana digrii mbili za Masoko na
Sayansi ya Michezo.
8 GLEN JOHNSON
Wanafunzi
wenzie walikuwa wanamuita (HUMAN calculator) Glen Johnson anatumia masaa
mawili kwa siku kwenda Chuo Kikuu Huria kuhudhuria masomo yake ya
Degree ya Mahesabu. Thesuperonenews.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment