Thursday, June 27, 2013

ISCO AMUA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI REAL MADRID

Klabu ya Real Madrid imedhibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji Isco kutoka klabu ya Malaga kwa mkataba wa miaka mitano.
Real Madrid imetangaza taarifa hizi kupitia kwenye tovuti yake na kusisitiza kilichobaki sasa ni kufanyiwa vipimo vya afya.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa pia anawaniwa na klabu ya Manchester City inayonolewa kwasasa na kocha wake wa zamani Manuel Pellegrini aliyekuwa Malaga 

0 comments:

Post a Comment