Baada ya kuweka udongo Barnaba akaishiwa nguvu.
Barnaba akiwa kapoteza fahamu wakati wa mazishi ya mama yake.
Akipatiwa huduma ya kwanza.
Baada ya kuzinduka.
Akipelekwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.
Mwanamuziki Elias Barnabas 'Barnaba' jana
alipoteza fahamu wakati wa mazishi ya mpendwa mama yake mzazi, marehemu
Mariamu Arubeth katika makaburi ya Mburahati jijini Dar es Salaam. Hali
ya Barnaba ilibadilika baada ya kuweka udongo katika kaburi la mama
yake ndipo alipopoteza fahamu na kupatiwa huduma ya kwanza kisha
kupelekwa hospitali.WWW.Thesuperonenews.blogspot.com inampa pole msanii Barnaba na wanafamilia wote
kwa msiba huu.
0 comments:
Post a Comment