BAO
la Dakika ya 79 limewaingiza Italy Fainali ya Mashindano ya UEFA kwa
ajili ya Vijana wa chini ya Miaka 21 kuwania Ubingwa wa Ulaya, EURO
U-21, walipoichapa Netherlands Bao 1-0 katika Nusu Fainali huko Nchini
Israel.
Kwenye Fainali, Spain itacheza na Italy hapo Jumanne Juni 16
RATIBA/MATOKEO:
(SAA za BONGO)
KUNDI A:
Israel 2 Norway 2 (5 June)
England 0 Italy 1 (5 June)
England 1 Norway 3 (8 June)
Italy 4 Israel (8 June)
Israel 1 England 0 ( 11 June)
Norway 1 Italy 1 (11 June)
KUNDI A
[Timu zimemaliza Mechi zao zote 3]
Italy Pointi 7
Norway 5
Israel 4
England 0
KUNDI B:
Spain 1 Russia 0 (6 June)
Netherlands 3 Germany 2 (6 June)
Netherlands 5 Russia 1 (9 June)
Germany 0 Spain 1 (9 June)
Spain 3 Netherlands 0 (11 June)
Russia 1 Germany 2 (11 June)
KUNDI B
[Timu zimemaliza Mechi zao zote 3]
Spain 9
Netherlands Pointi 6
Germany 3
Russia 0
NUSU FAINALI:
Jumamosi Juni 15
Spain 3 Norway 0
Italy 1 Netherlands 0
FAINALI:
18 June, Jerusalem, 19:00
Spain v Italy
DONDOO MUHIMU:
-Wachezaji wanaoruhuiwa kushiriki Mashindano haya ni wale waliozaliwa Tarehe 1 Januari 1990 au baada ya hapo.
WASHINDI WALIOPITA:
2011: Spain
2009: Germany
2007: Netherlands
2006: Netherlands
2004: Italy
2002: Czech Republic
2000: Italy
1998: Spain
1996: Italy
1994: Italy
1992: Italy
1990: USSR
1988: France
1986: Spain
1984: England
1982: England
1980: USSR
1978: Yugoslavia
WACHEZAJI BORA WA MASHINDANO YALIYOPITA:
2011: Juan Mata (Spain)
2009: Marcus Berg (Sweden)
2007: Rosyton Drenthe (Netherlands)
2006: Klaas Jan Huntelaar (Netherlands)
2004: Alberto Gilardino (Italy)
2002: Petr Cech (Czech Rep)
2000: Andrea Pirlo (Italy)
1998: Francesc Arnau (Spain)
1996: Fabio Cannavaro (Italy)
1994: Luis Figo (Portugal)
1992: Renato Buso (Italy)
1990: Davor Suker (Croatia)
1988: Laurent Blanc (France)
1986: Manuel Sanchis (Spain)
1984: Mark Hateley (England)
1982: Rudi Voeller (Germany)
1980: Anatoli Demianenko (USSR)
1978: Vahid Halilhodzic (Yugoslavia)www.Thesuperonenews.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment