Tuesday, February 18, 2014

DAH!!! UCHAWI NOMA ADONDOKA,NA UNGO NA KUAGEUKA KUKU!!!!soma zaidi


Kuku aliyebadilika kutoka hali ya ubinadamu akiwa katika ungo.
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika  kuwa kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo

Monday, February 17, 2014

VALENTINE'S DAY...AFUMANIWA, APIGWA, AZIMIA :soma zaid


SIMULIZI ya mrembo mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja inatia majonzi na huzuni lakini habari mbaya zaidi ni kwamba alifumaniwa na mwanaume wa mtu, katikati ya shamrashamra za Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, akapewa kichapo hadi akazimia, 

Sunday, February 16, 2014

Maajabu ,,, Jaguar; mwanamuziki milionea Aanza kuosha magari !!!!


Zipo baadhi ya kauli za Wahenga wa Kiswahili ambazo siyo rahisi kutimia au uhaliasia wake kuonekana kwa haraka katika maisha ya kila siku.

Friday, February 14, 2014

AJALI YA PIKIPIKI, ILIYOMPATA MSANII WA FLAMU KUELEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO ALIMANUSULA!!!



AJALI mbaya aliyoipata msanii wa filamu, Tito Zimbwe hivi karibuni ilikuwa imfanye apoteze maisha yake kutokana na namna ilivyotokea.

Wednesday, February 12, 2014

JUA KILICHOMFANYA MSANII WA KIZAZI KIPYA: WASTARA KUNYWA SUMU! soma zaidi

IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma,  nae..............

Saturday, February 8, 2014

LULU: SASA IMEKULA KWAKE KESI YAANZA UPYAA


KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Risasi Jumamosi limeambiwa.

Thursday, February 6, 2014

MAAJABU: MJAMZITO FEKI AIBA KICHANGA YAMKUTA MAKUBWA!!!! soma zaidi

I
NAWEZA kukushtua lakini ndivyo ilivyotokea. Kichanga cha siku thelathini, Veis Venus kiliibwa hivi karibuni, mtuhumiwa akiwa ni mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Grace akidaiwa ni mjamzito feki.