Monday, June 10, 2013

WAKAZI WA IRINGA WAKUMBUKA MBALI.


Wakazi  wa  Manispaa ya  Iringa  wakitazama  kwa machungu picha  za aliyekuwa  mwenyekiti  wa Klabu ya  waandishi  wa habari mkoa  wa Iringa (IPC) marehemu  Daudi Mwangosi katika kipeperushi maalum  kilichotolewa na umoja  wa vilabu vya  waandishi wa habari Tanzania (UTPC) kinacholaani mauwaji dhidi ya  wanahabari nchini 

0 comments:

Post a Comment