Friday, June 7, 2013

COASTAL UNION YAFANYA MAANGAMIZI YA USAJILI BAADA YA KUWASAJILUMA NYOSSO, KENNETH MASUMBUKO NA MARCUS NDAHELI KUTOKA OLJORO

 

Juma Nyosso leo amevunja mkataba na klabu ya Simba - na taarifa zisizo rasmi zinasema anaenda kujiunga na Coastal Union ya Tanga, ambayo hivi karibuni imekuwa katika harakati za kuunda vyema kikosi chake baada ya wiki iliyopita kumsaini Haruna Moshi Boban, na jana kutangaza usajili wa wachezaji Marcus Ndaheli kutoka JKT Oljoro na Kenneth Masumbuko


Kiungo mshambuliaji, Kenneth Masumbuko akisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Coastal Union

0 comments:

Post a Comment