Monday, June 10, 2013

NOORAH AFUNGA NDOA HARUSI YAFANYIKA SHINYANGA


Msanii Noorah ameungana na wasanii wengine kuuaga ukapela na kuingia katika maisha ya ndoa.harusi ya Noorah yafanyika nyumbani kwao mkoani Shinyanga.wasanii wengine waliooa karibuni ni pamoja na Shettah, Black rhymo, H baba na wengineo..Kila la kheri brother

0 comments:

Post a Comment